singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Maoni yangu
Ukawa ulikuwa ni umoja feki wenye lengo la kuviua vyama vingine na ili ibakie chadema peke yake. Tuliona jinsi wagombea wa chadema wa nafasi za ubunge na udiwani walivyokacha makubaliano ya kuwaachia wenzao wa vyama vingine majimbo au kata kwa ubinafsi tu. hata taarifa hizi ziliporipotiwa ngazi za juu lakini bado Chadema hawakuwa tayari kuchukua hatua.
Hivyo basi vyama viwe uchaguzi wa 2015 uwe funzo kwa vyama vya siasa ili visije kuuliwa na vyama visivyovitakia uhai vyama vingine hususani vyama vikubwa huwa havipendi vyama vinavyochipukia.
Pia Duni Haji na Sharifu Hamadi wanapaswa kujifunza kuwa siku zote mipango huanzia chini, Hakuna kubadilisha gia angani , kubadilisha gia angani ulikuwa ni utapeli na ulighai tu ili waingie kichwa kichwa na matokeo yake wameyaona.