Dunga Dunga!

Truth Matters

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
1,611
2,598
Hivi ni kweli kuna hawa washikaji wanapata mfadhaiko kwenye halaiki kama vile daladala! Au ni story za vijiweni? kuna mtu amewahi shuhudia hili?
 
sijui kwa sasa kama bado wapo ila mwaka 1999 nilikuwa nikiwashuhudia sana pale ilipojengwa shule ya sekondari city/benjamin mkapa.
Nalog off
 
Hatari
261944351_275424764413876_2247571232640735452_n%20(1).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom