Dunduliza Fare ya Precision Air imeigwa na ATCL

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Wanabodi,
Tarehe 13August 2021,shirika la ndege la Precision lilizindua huduma yao mpya iitwayo "DUNDULIZA FARE",Na niliona tangazo hili kwenye page yao

"Sasa kupitia Precision Air unaweza kufanya booking ya tiketi yako na kulipia kidogo kidogo Anza kwa kulipia 50,000/- tu na uendelee kulipia kidogo kidogo hadi siku saba kabla ya safari. Tupigie tupange pamoja 0746984100, 0784108800, +255 222 168 000 Au karibu ofisini tuongee"

Lakini katika hali ya mshangao jana tarehe 9September 2021 shirika la ndege la ATCL nalo wamezindua huduma yao mpya iitwayo "KIBUBU"

Naomba niseme tu ,Huu ndo ujinga wa atcl.
Yaani hakuna watu wabunifu.
Hii kibubu ni copy paste ya ile huduma ya "Dunduliza fare " ya precision air waliyozindua a month ago.

Yaani wamekopi kila kitu hata hiyo kiasi cha elfu 50 kutangulizwa.

Atcl wana copy paste hadi routes .(hili ntaliongelea siku nyingine)

Precision akianzisha ruti flani na wao siku inayofata wanaianzisha.

Precision wakianzisha dunduliza fares" wao wabaibadilisha wanaiita "kibubu"...alafu walivyo wavivu wa kufikiri wanaweka maelezo ya kibubu ni kuweka kidogo kidogo ili ulipie nauli ambayo ni pure content ya "Dunduliza fares"

Kwa kukosa kwenu maarifa ,kila siku mtapata hasara tu.

Ajirini basi thinkers wa kampuni.

Kama wapo basi sio wabunifu na wanakula mishahara bure...wanahamisha mawazo toka Precision air.

Anyways, "endeleeni kuibia majibu kwa wenzenu"

Kizuri huigwa.
Screenshot_20210910-134117_Instagram.jpg
Screenshot_20210910-134036_Instagram.jpg
 
Wanabodi,
Tarehe 13August 2021,shirika la ndege la Precision lilizindua huduma yao mpya iitwayo "DUNDULIZA FARE",Na niliona tangazo hili kwenye page yao

"Sasa kupitia Precision Air unaweza kufanya booking ya tiketi yako na kulipia kidogo kidogo Anza kwa kulipia 50,000/- tu na uendelee kulipia kidogo kidogo hadi siku saba kabla ya safari. Tupigie tupange pamoja 0746984100, 0784108800, +255 222 168 000 Au karibu ofisini tuongee"

Lakini katika hali ya mshangao jana tarehe 9September 2021 shirika la ndege la ATCL nalo wamezindua huduma yao mpya iitwayo "KIBUBU"

Naomba niseme tu ,Huu ndo ujinga wa atcl.
Yaani hakuna watu wabunifu.
Hii kibubu ni copy paste ya ile huduma ya "Dunduliza fare " ya precision air waliyozindua a month ago.

Yaani wamekopi kila kitu hata hiyo kiasi cha elfu 50 kutangulizwa.
ATCL wamekuwa kama MO anavyokopigi kwa Bhakresa na anapiga pesa. Refer Mo Energy
 
Wanabodi,
Tarehe 13August 2021,shirika la ndege la Precision lilizindua huduma yao mpya iitwayo "DUNDULIZA FARE",Na niliona tangazo hili kwenye page yao

"Sasa kupitia Precision Air unaweza kufanya booking ya tiketi yako na kulipia kidogo kidogo Anza kwa kulipia 50,000/- tu na uendelee kulipia kidogo kidogo hadi siku saba kabla ya safari. Tupigie tupange pamoja 0746984100, 0784108800, +255 222 168 000 Au karibu ofisini tuongee"

Lakini katika hali ya mshangao jana tarehe 9September 2021 shirika la ndege la ATCL nalo wamezindua huduma yao mpya iitwayo "KIBUBU"

Naomba niseme tu ,Huu ndo ujinga wa atcl.
Yaani hakuna watu wabunifu.
Hii kibubu ni copy paste ya ile huduma ya "Dunduliza fare " ya precision air waliyozindua a month ago.

Yaani wamekopi kila kitu hata hiyo kiasi cha elfu 50 kutangulizwa.

Atcl wana copy paste hadi routes .(hili ntaliongelea siku nyingine)

Precision akianzisha ruti flani na wao siku inayofata wanaianzisha.

Precision wakianzisha dunduliza fares" wao wabaibadilisha wanaiita "kibubu"...alafu walivyo wavivu wa kufikiri wanaweka maelezo ya kibubu ni kuweka kidogo kidogo ili ulipie nauli ambayo ni pure content ya "Dunduliza fares"

Kwa kukosa kwenu maarifa ,kila siku mtapata hasara tu.

Ajirini basi thinkers wa kampuni.

Kama wapo basi sio wabunifu na wanakula mishahara bure...wanahamisha mawazo toka Precision air.

Anyways, "endeleeni kuibia majibu kwa wenzenu"

Kizuri huigwa.View attachment 1931932View attachment 1931933
This is a pure lack of Creativity by the later.
 
Sioni tatizo kuiga kitu kizuri vitu vingi tunafanya kwa kuangalia wenzetu waliofanya vizuri wangeiga kitu kibaya ndio ningeshangaa...Mpesa ilianzia Nchi gani kwa sasa imesambaa Dunia nzima kutuma pesa kwa mitandao ya Simu..
 
Back
Top Bottom