Duncan Nyoni: Mchezaji anayeweza kubadili mchezo

bizplan

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
575
547
Nimemfatilia huyu Duncan Nyoni, japo huwa anaingizwa dakika za mwisho lakini kila akiingia anaonekana kubadili mchezo na kuleta uhai katika ushambuliaji.

Kocha ampe nafasi zaidi..
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nimemfatilia huyu Duncan Nyoni, japo huwa anaingizwa dakika za mwisho lakini kila akiingia anaonekana kubadili mchezo na kuleta uhai katika ushambuliaji.

Kocha ampe nafasi zaidi..
Kimakakati ingetokea Simba amezidiwa kimchezo Duncan Nyoni kazi yake ni kubadili mchezo na kuleta makali safu ya ushambuliaji, kwa mechi ya jana ilikuwa hivyo
 
Hakuna mchezaji hapo, Makolo mwaka huu wamesajili wachezaji wa kuokota okota
 
Wivu kwa mtoto wa kiume ni dalili za ugasho, mpira haujifichi upo Waz ,mchezaj wa timu pinzan akiwa fundi mpe heshima yake lakin sio kila kitu kubagaza tu .
Mm ni Simba damu Ila Kuna wachezaj yanga nawakubal na naamin Wana uwezo mzuri pasipo na Shaka ,mfano fei, bangala ,aucho,yassin mm hao watu nawakubal Sana na wanajua mpira kweli kweli hata wakija Simba Wana no pale.

Sasa uto nyie kila kitu ni kibaya kwenu ,Ivi kweli km wewe ni mtu wa soccer unaweza kubeza uwezo wa Duncan nyoni? Punguzen umbwiga this is football
 
Kitu chochote cha Simba kizuri kukubali ni kazi nzito sana kwao, angalia uongozi wa Yanga ile tabia za kukataa rangi za wadhamini maanake hawataki rangi nyekundu ya wadhamini kisa ina rangi nyekundu, kweli!? Brand ya Mdhamini mnaipekeka wapi?
 
Tatizo haya majamaa wanayalea Sana na yanavimba yanajua hayawez fanywa chochote ,ifike Mahal kanuni zifuatwe km ambavyo wao wanataka kanuni zifuatwe kwenye Mambo yanayogusa maslah yao .

Wakikiuka wawajibishwe ,wakiendelea kuvimba ni kuwapiga chini tu ,kwa tabia hizi za kuwalea Lea wataendelea Sana kusumbua Hawa watu, wanatakiwa wapewe kashkash ili akil iwarejee vzr na watakuwa na nidham
Mhaiwezekan wao kila kitu ni kupinga tu mfano rangi nyekundu yaan huu ni utahira wa kiwango Cha sgr, alafu mbona simba anavaa nembo yenye njano na kijan huko CAF na hajawah kulalamika Maana anajua Hilo ni swala dogo maana rangi haichez uwanjan ,wao et tuna utamaduni wetu sasa km una utamaduni wako cheza peke ako ,mfano kila club ikiamua kufuata rangi yake itakuaje sasa kwa hiyo nembo?
 
Mtu anaye tapatapa mwacheni atapetape.
Hata wangeingia CAF Champion League wangegomea rangi nyekundu ya CAF.
Wamezoea kudeka hao.
Nashangaa hawaikatai damu yao ambayo ni nyekundu.
Simba tunavaa rangi yeyote ya mdhamini.
We huoni mechi moja tu ya CAF wamelipishwa faini kwa ajiri ya kudeka.
Kichwani mwao wanaiwaza Simba tu.
Sisi Simba tuendelee na mipango yetu, hatuna cha kuiga toka Yanga.
 
Back
Top Bottom