Dully sykes angaka kwanini anapigiwa ovyo na wanawake kila siku hasa wake za watu

Tehete Utajiri wa Mwafrika huo, wanawake wengiii na mawazo yetu ni kufikiria wanawake tuu yaani NGONO tena ZEMBE!
Ningemwona wa maana angesema kawekeza kule Tanga ana heka mia anafuga ng'ombe wa maziwa, so anasumbuliwa mno na MBUNG'O na NDOROBO. So hayo ndo maisha ya msanii wa BONGO tehe!
 
dully sura ya mbogo anajiita handsome?????????

dully.jpg
 
ebu nawaombeni picha wengine hatumjui jamani ili tuweze kuevaluate na tufananishe na picha iliyowekwa hapa juzi kimgongo mgongo kama wanafanana maana yule jamaa wanawake wengi humu ndani walisema ndio wanaume wanaowapenda.
 
Akutukanaye hakuchagulii tusi...Dully pia handsome....uwii, nenda kojoa nikalale
 
How is This newz?dully and his little crapy mind should switch off His phone,nobody will bother you then!give us a break with ur insane theoremz!idiot
 
huyu Mpakanjia tu ndo alimuweza....nasikia walimpaka mlenda!

siyo suala la kusikia hii inshu ilikuwa kweli!ni kwasababu binadamu wasahaulifu tu huyu dogo alikuwa siyo wa kutaka sifa tena kwa kitendo alichofanyiwa miaka ile!wale mabandidu hawakupaka utelezi walipitisha na ugumu wake kunako kunyavu!.....siku anapumuliwa kisogoni nilikuwa sinza na kina MOX!call ikamuendea Gadna watu kuweka uthibitisho!ukitaka kujua hili suala linamuuma siku akizingua mwambie ntakufanyia kama walivyokufanyia kina mpakanjia!....dully ataruka kote kwangu havimbi cuz anajua hii inshu nna uhakika nayo!
 
Katika hali ya kushangaza
mh duly sykes ametangazwa anasumbuliwa sana sana na anajuta kwa nini amezaliwa handsome
kwa kuwa ajaamini kinachoendelea...duly sykes amesema amekuwa akisumbuliwa sana sana
kila mara hata leo amepigiwa na wanawake zaidi ya sita wakimtaka
...lakini anasema anaomba jamani
ameacha ile michezo anaomba aheshimiwe uhuru wake n a hivi sasa ameamua kujiondoa kabisa
facebook ...m nashangaa sana sana wanawake wa sikuhizi bana kila mtu anaangalia handsome
hajui yukoje

kazi kweli kweli

Hao anaowazungumzia ni watoto wa uswazi wenye malezi sifuri ambao wamegeuza miili yao mitaji.Wanachofuata ni vijifedha vya kuwapeleka Billz ,Maisha na Mlimani city-Chicken hut. Asidhalilishe kina dada /wanawake kwa kutoa majumuisho ambayo sio sahihi.
 
Atupishe kama anataka atajwe kwenye Radio na gazeti aseme tu kwa uzuri huo hana mwenzangu au niseme kwangu mie uzuri wake sijauona,na mzuri hasemi..
 
siyo suala la kusikia hii inshu ilikuwa kweli!ni kwasababu binadamu wasahaulifu tu huyu dogo alikuwa siyo wa kutaka sifa tena kwa kitendo alichofanyiwa miaka ile!wale mabandidu hawakupaka utelezi walipitisha na ugumu wake kunako kunyavu!.....siku anapumuliwa kisogoni nilikuwa sinza na kina MOX!call ikamuendea Gadna watu kuweka uthibitisho!ukitaka kujua hili suala linamuuma siku akizingua mwambie ntakufanyia kama walivyokufanyia kina mpakanjia!....dully ataruka kote kwangu havimbi cuz anajua hii inshu nna uhakika nayo!
hahahahahahaha ila inataka moyo aiseee....
 
muuza sura umenikumbusha mbali
nakumbuka sie tulikuwa pale B-BAR tukatumiwa sms kila mteja tulikuwa washkaji tukaanza kuulizana jamani fully mmh
ukweli anaujua mkapanjia
 
muuza sura umenikumbusha mbali
nakumbuka sie tulikuwa pale B-BAR tukatumiwa sms kila mteja tulikuwa washkaji tukaanza kuulizana jamani fully mmh
ukweli anaujua mkapanjia

kipindi kile kiukweli dully alikuwa anasumbua sana ndo maana hata lile tukio lilisambaa sana kwa muda mfupi!haya maneno anayojisifia leo ni kupanic tu kwani dully wa kipindi kile si dully huyu ambaye amemezwa na wakali wapya!
 
ila Dully na misifa ile halafu nikamfumaniaga anapopiga mbavu Tabata baada yakutimuliwa yeye na mamake kwa bibi pale Ilala nilichoka na nikajiambia mwanangu akinambia anataka kuwa muuza sura bongo ntamfungulia genge la mkaa aisee...linalipa hasaaa!
 
Back
Top Bottom