duka la vifaa vya ujenzi.


B

Buza

Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
57
Likes
0
Points
13
Age
54
B

Buza

Member
Joined Aug 7, 2011
57 0 13
Nataka kufungua biashara ya duka la vifaa vya ujenzi naomba ushauri ni mtaji wa kiasi gani ni nzuri kuanzia na eneo gani ni zuri kibiashara.
 
happiness win

happiness win

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
2,476
Likes
44
Points
0
happiness win

happiness win

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
2,476 44 0
Eneo lenye wajenzi. Kama wanajenga nyumba za udongo basi weka bidhaa zinazoendana na nyumba hizo; kama wanajenga magorofa hali kadhalika. Mtaji utalingana na aina ya vifaa unavyoweka.
 
M

MILLIONS MOVEMENT

Senior Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
148
Likes
0
Points
0
M

MILLIONS MOVEMENT

Senior Member
Joined Aug 2, 2012
148 0 0
Nataka kufungua biashara ya duka la vifaa vya ujenzi naomba ushauri ni mtaji wa kiasi gani ni nzuri kuanzia na eneo gani ni zuri kibiashara.
Usione uzi hauchangiwi ukadhani unachuniwa,tatizo unahitaji ushauri wakati hutaki kutoa maelezo ya kutosha kama vile;
Uko mkoa gani,una mtaji kiasi gani,Aina ya soko unalo target,Usimamizi wako utakuwaje etc
Mfano,kuna tender nyingi za ku supply nondo kwa Wachina wanaojenga barabara Tabora;Ushauri huu unaweza usiwe msaada kwako kwani hujulikani ulipo,mtaji wako haujulikani ni kiasi gani,uwezo wako wa kuhimili credit sales ukoje.
Weka maelezo ya kutosha utapata ushauri wa kukusaidia.
 
B

Buza

Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
57
Likes
0
Points
13
Age
54
B

Buza

Member
Joined Aug 7, 2011
57 0 13
Asante kwa ushauri wako millions movement. Niko Dar na mtaji ni sh. 20m pesa ya frem ni tofauti. Nataka kuweka vifaa mchanganyiko vya ujenzi. Ushauri kuhusu eneo p/s na usimamizi nitakuwa mwenyewe.
 

Forum statistics

Threads 1,273,313
Members 490,351
Posts 30,477,748