Sasa wewe Morogoro hapo unaona wana bei...wapi kwingine unapodhani hawana bei
atume ili umtapeliKwahiyo unataka kufunga safari kutokea morogoro mpaka dar kuja kununua tecno!!!
Tuma hela nikununulie nikutumie kwenye basi,zipo mpaka za laki moja na nusu,si unataka yenye facebook??
Kwahiyo unataka kufunga safari kutokea morogoro mpaka dar kuja kununua tecno!!!
Tuma hela nikununulie nikutumie kwenye basi,zipo mpaka za laki moja na nusu,si unataka yenye facebook??