Duka la Miniso: Mlimani City Mall

Mbona ineleweka bidhaa zinaandikwa british design haina maana made in britain yaweza kuwa made in tanzania,
Nipe mfano hai wa hiyo bidhaa.

Hata kama ni rukhsa, mara nyingi ubora wa bidhaa kama hizo huwa duni kulinganisha na original product. Na lengo la mada hii ni wateja kuwa makini na watahaadharishwe kuhusu utapeli kama huo.
 
Mteja anauliza una betri original? Ndio.
Bei gani? 30,000
Fake zipo? Ndio
Bei gani? 5,000
He! Mbona zote zinafanana! Nipe tu hii ya 5,000.
 
Mteja anauliza una betri original? Ndio.
Bei gani? 30,000
Fake zipo? Ndio
Bei gani? 5,000
He! Mbona zote zinafanana! Nipe tu hii ya 5,000.

Kwenye huo mfano wako hizo betri fake zinafanana na original, kitu ambacho mteja anatakiwa kuelimishwa ili aweze kufanya rational purchase choices over and beyond any superficial similarity of products.

Kumbuka, hawa jamaa siku zote wakishachukua pesa zako, kurudi na malalamiko yoyote ni ngumu sana kupata usuluhishi kutoka kwao.
 
Waache kudanganya au kuwapa picha wateja kuwa bidhaa zao zina ubora wa zile za Japan. Waache kutumia "Japan" na "Japanese" kwenye advertising ikiwamo maandishi ya lugha yæ Kijapani kwenye nembo yao na kwenye bidhaa zao.
Wewe ni m Japan mpaka ikuume hivyo? Quality za made in Tanzania nazo vipi?
Nahisi kuna something behind hapa.
 
Kama wateja wake hawalalamiki shida iko wapi? Hiyo ni mbinu ya kibiashara, msiwaharibie soko lao.
 
BEWARE FOLKS! Miniso wanajinadi eti "Japanese Design" na nembo ya kijapani juu, but its all a gimmick. Other than the fancy, colorful Japanese-style packaging for their products, in actuality they peddle the usual cheap, low-quality Chinese trash people are so used to.
kwa upande wangu nimenunua Miniso products and I have not been disappointed so far, huwa sinunui bidhaa kwa kuiangalia kwa macho, ninanunua bidhaa ambayo ninaihitaji na huitumia in my day today life, kuna bidhaa kadhaa nilinunua pale, I was so impressed na nikarudi tena kununua, uwe na uhakika na unachotuhumu. China ni matajiri sababu almost every big manufacturing industries za dunia plants zao ziko China, wachina ni wachapakazi na China is cost friendly kwa manufacturing operations, ukiwa na kiwanda China lazima uandike Made in China, swala la quality wewe kama consumer ni fedha yako tu! China kuna quality zote maamuzi ni yako wewe mnunuzi kulingana na pochi yako. Pale Miniso every item iko na infomation nyuma Designed in Japan, made in China (kama simu unayotumia sasa)huna haja ya kuwaonya watu,run the product number kwenye website yao, si vizuri kuiongelea biashara ya mtu kwa namna hii bila kutuletea ushahidi wa unachokiongea.
 
Akikujibu naomba unitag please
 
Hivi waziri si yupo? na TBS wapo.Kwa nini tunaletewa uchafu na tena unauzwa mlimani city???
 
Hivi waziri si yupo? na TBS wapo.Kwa nini tunaletewa uchafu na tena unauzwa mlimani city???
Huo usafi uko wapi? wewe umejuaje ni uchafu, muwe na hoja zenye ushahidi na si kudandia mada na kuanza kucomment uporoto, unanunua kwa machinga barabarani headphones TSHS 5000, kwenye gari umeweka transmitter ya kupiga muziki umenunua 10,000Tshs kwa machinga huwaiti TBS, kampuni ya Japani yenye viwanda nchi mbalimbali inafungua tawi lake hapa, wewe unasema uchafu, hivi 'phonecover' na 'screen protector' ya simu yako ni brand gani na ulinunua wapi? Hapo TBS hawahusiki?
 
Hili duka ni popular sababu wateja wanaamini bidhaa zinazouzwa pale ni "Made in Japan", au ubora wake una kiwango cha Japan. Hii siyo sahihi kabisa. Ukweli ni kwamba bidhaa zao ni za kichina na hazina ubora ule. Wenye maoni kuhusu hili?
Acha wivu
 
Hivi Tanzania hatuna sheria ya kudhibiti bidhaa feki?
Kwanini nchi kama nchi isitungunge na kutumia sheria hiyo kuua bidhaa hizi zilizozagaa hapa Tz
 
Hivi Tanzania hatuna sheria ya kudhibiti bidhaa feki?
Kwanini nchi kama nchi isitungunge na kutumia sheria hiyo kuua bidhaa hizi zilizozagaa hapa Tz
Kabla hujajibiwa hilo swali anza wewe kujikagua vitu unavyovitumia ulivyonunua, Je! ni origino, kama sio, kwanini umenunua? tofauti ya neno "bidhaa feki" na "bidhaa isiyo na ubora" feki maana yake nini, mtengenezaji katumia jina la bidhaa asiyoitengeneza yeye? Hivi bidhaa ikitengenezwa hapa nchini ikakosa ubora inaitwaje?
 
mkuu una share nini pale kati mbona uko na povu ivo?
 
mkuu una share nini pale kati mbona uko na povu ivo?
Hapana sina share ila nimependa ubora wa bidhaa zao na hata wewe ukitaka kujua ubora wa hizo bidhaa jifanye kama unataka kufranchise maana Miniso Japan wametoa ofa ya franchise. Mimi ni mfanyabiashara najua misukosuko ya kibishara, nilifanya uchunguzi historia yao mpaka hapo walipo, I'm impressed, nilifanya yote haya baada ya kununua just 1 product (Miwani ya jua) nikapelekea wataalamu wa analyse wakakuta ile miwani ni CAT 3 UV filter. Huu ni mfano mmoja tu, nili analyse vitu vingi tu headphones, speakers etc, vyote vilitoa impressive results. Yeyote anayelalamika humu aje na mifano, ni hulka mbaya sana condemning biashara ya mtu kiushabiki tu without vivid proof. Kwa mfano watz wengi waliwabeza sana Grace products mpaka walipokuja shinda tuzo ya kimataifa kwa ubora nchini Marekani ndio sasa wananunua product zao.
 
ni kweli miniso ni kampuni ya kichina inayosafiria nyota ya japan
 
Back
Top Bottom