Duka la mchaga

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Ona tangazo la biashara kwenye duka la mchaga:

KARIBU KWA MANGI UJIPATIE:
1.Sukari,mayai,baiskeli
2.kanga,pilau,walikuku
3.sambusa,tairi za trekta
4.madaftari na bia aina zote
5.petroli,matunda,nazi
6.vitumbua,mitumba grade one
7.supu ya utumbo,mabati,vocha
8.mtego wa panya,pembejeo
9.makabati ya nguo,kompyuta
10.juisi na mbogamboga
11.mahindi ya kuchoma,bajaji,simenti
12.leso,vyumba vya wageni na vyuma chakavu

KARIBUNI!!!!!!!

TRA MPO?
 
Mchag mjasiriamali bwana ebo! Watanzania wote tuwe hivyo wajameni!
 
nimeipenda ina kila kitu ushindwe wewe tu kushop ahapo!
 
mbona shoprite kuna vitu kama hivyo? hiyou ndo supamaketi ya mchaga bana, no need kupota tym na nauli pia, kila hapohapo.
 
Back
Top Bottom