Duka la maiti

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,896
25,941
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana


Soma kichwa cha habar vizur ili twende sawa

Sitak maneno meng wazee ngoja nisonge nayo tu


Sikumbuk tarehe lakin ilikuwa ni jumapili jion mda wa saa 12 kamili pale bibi aliponambia twende tukatembee


Tulitoka kweli kuelekea mtoni lakin baada ya kufika mton bibi alibadilika sana na kunambia nahitaji kuwa jasiri maeneo haya, sikuelewa anamanisha nikamuuliza bibi una manisha nini? Akanambia naomba uwe jasiri maeneo haya mwanangu

Alinipaka dawa zake machon ghafula pale palibadilika nikaanza kuona watu wengine kabisa wachafu wachafu wasiooga na wenye nywele ndefu

Alinitembeza maeneo mengi sana

Alinitembeza had kwenye duka la maiti ambapo tulikuta mait weng sana ambao washaga kufa


Kwenye duka la mait tulikuta watu wengi sana wakimusubili bibi maana yeye ndo alikuwa mtunza funguo za pale dukan

Watu hao walikuwa ni wateja wa kununua maiti ili wakafanyie mambo yao wanayo yajua wao

Kuna wengine walikuwa wanataka maiti ile wachukue viungo vya mait kuna mwingine anataka macho mwingine makalio kuna mwingine anataka kikwapa mwingine anataka kichwa kulingana na matumiz yake mwenyewe

Wengine walikuwa wanachukua mait mzima mzima

Bei za mait zinatofautiana kulingana na mait yenyewe

Maiti ya mtoto mdogo ndo inabei zaid hasa huyo mtoto akiwa wa kike

Mait za wanawake hazina bei sana kama za wanaume

Bibi alitoa yaan aliuza mait kama 7 then akafunga tukarud home

Nilishangaa sana aisee

Kwahiyo bas ujue kila kitu ni mali na kila kitu kina kaz yake ndugu yang



LONDON BABY
 
Sawa sema kiongozi jinsi unavyoelezea yaani kama kweli,unaweza kutunga tamthilia nzuri sana na kutunga kitabu kizuri coz unaweza kupangilia vizuri matukio.sema kiongozi kuna ndoto naiota sana na siipendi kwani hua naiota katika kipindi ambacho mambo yangu ya kiuchumi yamevurugika katika hali mbaya sana.

Hua naota nalala chumba alichokua analala marehemu bibi yangu na nikweli alivyokufa miongoni mwa watu waliokitumia kulala ni mimi.lakini kinachonishangaza ni kwamba nyumba yenyewe ilishauzwa na chumba kilishabomolewa lakini mara kwa mara mambo yangu yakiwa magumu yaani biashara zinaenda ovyo na kazini mara nimesimamishwa ndio naota.

Kwavile umekaa sana na bibi unaweza kujua kwanini inakua hivi
 
SAWA SEMA KIONGOZI JINSI UNAVYOELEZEA YAANI KAMA KWELI,UNAWEZA KUTUNGA TAMTHILIA NZURI SANA NA KUTUNGA KITABU KIZURI COZ UNAWEZA KUPANGILIA VIZURI MATUKIO.SEMA KIONGOZI KUNA NDOTO NAIOTA SANA NA SIIPENDI KWANI HUA NAIOTA KATIKA KIPINDI AMBACHO MAMBO YANGU YA KIUCHUMI YAMEVURUGIKA KATIKA HALI MBAYA SANA.
HUA NAOTA NALALA CHUMBA ALICHOKUA ANALALA MAREHEMU BIBI YANGU NA NIKWELI ALIVYOKUFA MIONGONI MWA WATU WALIOKITUMIA KULALA NI MIMI.LAKINI KINACHONISHANGAZA NI KWAMBA NYUMBA YENYEWE ILISHAUZWA NA CHUMBA KILISHABOMOLEWA LAKINI MARA KWA MARA MAMBO YANGU YAKIWA MAGUMU YAANI BIASHARA ZINAENDA OVYO NA KAZINI MARA NIMESIMAMISHWA NDIO NAOTA.KWAVILE UMEKAA SANA NA BIBI UNAWEZA KUJUA KWANINI INAKUA HIVI
Pole sana mkuu

Hata mimi kuna kipindi mambo yangu yalisimama yote nikawa sina A wala B

Sikujua sababu ni nini au ni kitu gan

Lakin baada ya kufatilia niliambiwa babu yangu ndo ananisumbua maana simujali na huyo babu yangu ashakufa

Sasa nikauliza simujal kivipi wakati hayupo ashakufa? Ndo nikawa nimeelekezwa


Labda nikuulize

Ni lin mara yako ya mwisho ya kupalilia kabur la bibi yako?

Je umeenda lin kuliona kabur la bibi yako japo kulishika mkono au kukaa juu ya kabul au kulilalia kabisa?
 
Daah sijawahi coz amezikiwa nyumbani Tabora nikiwa mdogo,halafu haya mambo mimi siyapendi coz naona ni shirki na hakuna zambi kubwa kama kumshirikisha muumba mbingu na ardhi.Vipi nikimuombea bila kwenda makaburini inatosha?
Kama unataka aman nenda kwenye kabul la bibi yako kapige magot na upalilie na ukae kwa juu yake wala siyo zambi mkuu hakuna zambi ya kupalilia kabur la bibi MUNGU sio mjinga wa kukupa zambi kisa et umepalilia kabur la bibi,


Kuna vitu vingine ni lazima uvifanye hata kama ukiwa askofu au shekh, mimi baba yangu mdogo ni padre lakin ni lazima kila mwaka aje kabulin kwa baba yake apige magot na apalilie
 
Kama unataka aman nenda kwenye kabul la bibi yako kapige magot na upalilie na ukae kwa juu yake wala siyo zambi mkuu hakuna zambi ya kupalilia kabur la bibi MUNGU sio mjinga wa kukupa zambi kisa et umepalilia kabur la bibi,


Kuna vitu vingine ni lazima uvifanye hata kama ukiwa askofu au shekh, mimi baba yangu mdogo ni padre lakin ni lazima kila mwaka aje kabulin kwa baba yake apige magot na apalilie
Sawa kiongozi ntaufanyia kazi ushauri wako,halafu embu niulizie bei ya maiti ya mtoto wa kike wa miezi sita coz nina hamu ya supu :D:D:D:D:D:D
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom