kuna mkaka niliwahi kumdate arafu tulikaa miezi ka 2 tukagombana kwa k2 kidogo tukaliana cul miaka 2, akanitafuta kanieleza kipindi kile tatizo lilikuwa nini me nikampotezea takiribini miezi 4 anadai alinipenda sana anaomba niwe muelewa nimpe nafasi tena na yupo serious ktk hili, nikamwambia npe mda, Ila nimeshindwa kumsoma vizuri maana toka nimempa jibu zuri imekuwa tabu tupu, cm anapiga mara moja kwa siku mbili au tatu na mimi nikituma text yakumjulia khali hajibu, najikuta mda mwingi na utumia kulaumu kwani nilishampa nafasi ktk moyo wangu, jubu analo kuja nalo anadai anaomba nizoee hii khali kwan yeye anacomplicate vitu vya maendeleo tuu, mara nachoka sana na akirudu anajikuta analala anapitiliza anasahau kunicall/kureply text zangu hizo ndo sababu zake, jana nikamfungukia na kumueleza mimi nimeshindwa kuvumilia hii khali kwakweli, akajibu nikae chini nitafakari kwakina kabla ya kumdate mvulana mwingine/ kufanya maamuzi kwani wachache kama yeye hajawahi kuniambia suala zima wala kunisumbua kuhusu sex, asubuhi nimemjulia khali hakujibu, badae nikamask kama anamda aje home hakujibu, nimecall hakupokea, kinachonikera zaidi nikiamua kupotezea baada ya siku mbili au tatu anapiga au ananitaka niende kwake akidai mara leo nipo free kama una mda naomba uje? nikimwambia labda nipo busy ndo ajibu tena, duh, ama kweli ni mtihani wa maisha binafsi nimeshindwa kumuelewa kwakweli, inshort anaitesa nafsi yangu.