Duh! shamba la bibi linaendelea kuchumwa, shehena lakamatwa Marekani lililojaa wadudu kutokea Tanzania

Wenzetu kwenu huko kila kitu kinachumwa kwa kwenda mbele, vyote hivyo ni dili, inashangaza kizazi cha sasa mnaojiita "walioelimika" bado mnaliwa kama ilivyokua kwa mababu zenu japo sitashangaa maana maprofesa wenu ndio hao wanafuata vikombe vya maji ya tangawizi Madagascar na kutangaza eti wamegundua dawa ya Corona.
Mokaze

=====

US Customs and Border Protection agents have on Wednesday March 10 seized a package at the FedEx Hub from Tanzania with live insects, media reports have confirmed.

The live insects which they say could have caused serious problems at their final destination in Oregon were found in an old cardboard light bulb box without import permits.

The owner of the package was not identified immediately but an entomologist identified the bugs as a form of praying mantis and another from the wasp family.

Inspectors say the insects could have threatened Oregon’s white cedar trees and spread disease to plants and native insects.

In January, Austrian authorities stopped a man at Vienna airport as he tried to smuggle 74 protected chameleons from the Usambara Mountains in Tanzania into the country.

They said the man had hidden the animals in socks and empty ice-cream boxes when he was caught at customs control in Vienna.

Kwanini post iko kwenye jukwaa la. "KENYAN NEWS"⁉️🤔
 
Ji
ndanganiass

Listen to yourself.
What has it got to do with beberu.
Mulichoma vifaraga, mkatuletia watalum omba omba, ngombe umatifisha,You jailed wa masai.
You haven't stopped there with your silliness you have now introduce chemical warfare(kichefu)
Jirani, punguza hasira
 
What an idiot. You advise I should back to school and learn swahil.
Ze ze ze confused or what?
Nani mjinga kati ya Mimi na wewe mkimbia shule kisa maumivu ya kalio?
Sijui nini mifanya mashuleli huko Kenya hadi kupelekea makalio kuwauma madarasani

Mbaya zaidi kwa mwanaume kulia umivu la kalio shuleni inashangaza si utani!
 
Nani mjinga kati ya Mimi na wewe mkimbia shule kisa maumivu ya kalio?
Sijui nini mifanya mashuleli huko Kenya hadi kupelekea makalio kuwauma madarasani

Mbaya zaidi kwa mwanaume kulia umivu la kalio shuleni inashangaza si utani!
Kweli si utani.
Makaliyo una yako yangu yamechoka kuketi darasani kusoma kisiwa hili.
Maoni yako kuhusu makaliyo uliza wizara husika
 
Sheeple Kenyans, are too chicken to stand against Kenyatta family that owns more land than the family of the third richest person in the world (Bill gates).

Japo sitetei tuhuma za kwamba familia ya Kenyatta walinyakua ardhi, lakini ni tofaui sana na kinachotendeka Tanzania, huko kwenu kila kitu kinatwaliwa na kwenda kwa mabeberu mumeachwa na mahandaki matupu na umaskini uliokubuhu, ila kwa hili la Kenyatta family, hicho walichonyakua kinalimwa na Wakenya na kunufaisha Wakenya, kwa kifupi wizi wao umebaki humu humu, inachukiza kwa huo wizi wao ila nafuu ni kuwa humo wameajiriwa Wakenya.
Kwenu huko mnatia huruma, raslimali zote hizo na leo hii Kenya kainchi kadogo kana uchumi karibia mara mbili yenu.
 
Kwenu huko hadi nzi na viroboto ni dili jameni wanachumwa wote.

Nilishangaa kusoma taarifa fulani eti hadi mikojo ya wanawake waja wazito ni dili pia. Bongonyoso aisei naomba nije mnipe walau kitalu
Toba!Ati tiyata??
 
Back
Top Bottom