Duh! Norway ambayo inaongoza kwenye kusaidia Tanzania kwa misaada yawapigia makelele

Sure, yule mzee anafight battles nyingi sana ila mapoyoyo hawajui tu, rasilimali zetu nyingi zilizokua tayari mikononi mwa haya mabeberu kwa favor tu ya 10% viongozi wetu walivyozuzuka nayo JPM karudisha almost all of them

Mchuchuma na Liganga nayo (pale kuna utajiri wa Chuma na Coal ambayo inatosha kuhudumia matumizi yote ya dunia nzima kwa mwaka 1) na yenyewe hii ilikuwa tayari imeshapigwa kata funua lakini JPM kafight kichizi na yenyewe imerudi.

HALAFU movements zote hizi ni viongozi wakubwa wa kiserikali ndio wanaengineer, unaona mama makel anampiga simu magufuli kuhusu kiwanda cha mbolea lakini wenyewe wanatuambia haipaswi serikali kujihusisha na biashara, kumbe wana secret agenda

Barrick na Acacia ni mali ya Bush ile na kina queen Elizabeth wote wezi, kwa hiyo hapo unaona ni namna gani JPM anapigana na watu wakubwa duniani ndio maana utasikia anasema mniombee ooh nimejitoa sadaka ooh mambo ya Libya etc mzee anajua kipi anafanya

Aongezewe tu ulinzi

Nyumba za serikali ziligawanywa hadi Kwa vimada zipo wapi?
 
Back
Top Bottom