Duh! Norway ambayo inaongoza kwenye kusaidia Tanzania kwa misaada yawapigia makelele

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,743
48,325
Yapiga makelele kuhusu kuzorota kwa haki za kibinadamu kule Tanzania, haya makelele ya mabeberu yameongezeka baada ya kisa cha hivi majuzi cha mwandishi wa habari kukamatwa kwake nyumbani na kutuhumiwa makosa mengi, mara sio raia, mara anaandika vibaya n.k.
-----------------------------

Norway is concerned about human rights in Tanzania
Norway is concerned about the human rights situation in Tanzania, which over the past 50 years has received more Norwegian assistance than any other country.

“We are concerned about the development of the human rights situation in Tanzania, including for the freedom of the press,” State Secretary Marianne Hagen (H) tells Bistandsaktuelt.

Partner country since the sixties
Tanzania became a main Norwegian partner country in the 1960s and has since received close to NOK 19 billion in aid from Norway, according to an overview from Norad.

In 2018, the assistance amounted to almost NOK 400 million, and more than 40 per cent of this went through the country’s authorities.

Last week, one of the country’s leading journalists, Erick Kabendera, was arrested, charged with organized crime, money laundering and tax evasion. He works for the British Guardian and Economist, among others.

Tanzania

“On Thursday, another critical research journalist was arrested, and the Norwegian Foreign Ministry is following this development with concern,” Hagen informs.

“Human rights are on the agenda in the regular political consultations between Norway and Tanzania, taken up in political meetings and followed up by the embassy in Dar es Salaam,” she continues.

“We will also scale up support for independent human rights organizations. This is important for promoting democracy and human rights,” Hagen concludes.

Ushawahi niona najibu hivo, focus na nilichokujibu
Nilitegemea utajibu kwa kiburi kama kawaida yenu kwa kusema wakwende huko hamuwahitaji na waache kuingilia mambo yenu, nyie ni huru na mliikomboa Afrika...
 
Ushawahi niona najibu hivo, focus na nilichokujibu

Sasa usinijibu mimi maana sijakuuliza swali lolote...kunao wanawapigia makelele na ndio huwapa misaada nyie, wanawauliza maswali na kuwapigia makelele, ukinijibu mimi ilhali sijakuuliza chochote inaonyesha MaCCM mnavyoanza kupoteana na kuchanganyikiwa.
 
First of all mm sio ccm
Punguza shobo Pambana na matatizo ya nchi yako
Sasa usinijibu mimi maana sijakuuliza swali lolote...kunao wanawapigia makelele na ndio huwapa misaada nyie, wanawauliza maswali na kuwapigia makelele, ukinijibu mimi ilhali sijakuuliza chochote inaonyesha MaCCM mnavyoanza kupoteana na kuchanganyikiwa.
 
Katika hili Magufuli anapaswa kusikiliza, kwakweli upande huu Magufuli anaonyesha mapungufu makubwa ya kiuongozi. Hongereni sana Norway, UK na USA kwa kuliona hilo.
 
Tukisema sisi mnasema ni chuki, sasa mabwana zenu wameamua kwamba hawatobaki kimya. Misaada yao mliitafuna, wakati wa kulipa umewadia.
FitW7_820px_Country_Trend_Arrows-cropped.png
Ni jambo la ajabu sana kuona kwamba Tz ipo kwenye orodha ya nchi 10 duniani, 'worst of the worst', zinazoangaziwa kwa kuendelea kuminya haki za kibinadam, haki za kidemokrasia na uhuru wa wanahabari. Hizo nchi kumi hapo zimebakisha hatua moja tu ziingie kwenye ligi za nchi kama Syria, Somalia, Libya, S.Sudan na Uzbekistan.
 
Upumbavu mtupu freedom of press my foot, wachochezi wote wapotezwe kabisa, watu wanaolipwa ili kuchafua nchi mimi naunga kabisa mkono watiwe korokoroni, huyu mburukenge anatumika na mabeberu kumkwamisha JPM na ushahidi upo.
 
Nime subscribe newsletters za economist nimesoma kazi zote za kishenzi za huyu jamaa, kiukweli alikua anamponda sana JPM without substantial facts kabisa unaona hii ni blackmailing kabisa with some targeted agenda na hii inakuja baada tu ya JPM kuitandika Barrick na Acacia.

Me nasema wahangaike nae tu vizuri.
 
😁😁😁 Lakini ushahidi upo? Wahangaike nae vizuri?
 
ushahidi upo sababu toka aingizwe kazini na mabeberu, JPM amefanya mengi sana ya maana na yanayolenga Mtanzania wa kawaida lakini hajawahi kuandika jema hata moja badala yake ni yale mema yote anayageuza kuongeza chumvi na kujaza uongo na uchochezi.

Kuna ushahidi na reports kibao kuonesha uchafuzi wa mazingira kwenye vyanzo vya maji kule North Mara na Geita ambapo watu wamepoteza maisha na mifugo kutokana na uchafuzi wa Barrick na Acacia lakini hajaripoti wala hatusikii mabeberu wakikemea.

Barrick na Acacia ni London listed companies lakini huwaoni mabalozi wao wakisema chochote kuhusu ujambazi wanaoufanya Tanzania ila kibarua wao akiwa spotted vilio kila kona.
 
Na kweli mkuu, hakuna chochote walichosema baada ya saga la acacia lakini wamekua wepesi sana kuongea mambo wasio na ushahidi, kama wanavyoingilia uhuru wa mahakama, hivi marekani na nato walivyoivamia Libya Waafrika tulihoji kweli?
 
ushahidi upo sababu toka aingizwe kazini na mabeberu, JPM amefanya mengi sana ya maana na yanayolenga Mtanzania wa kawaida lakini hajawahi kuandika jema hata moja badala yake ni yale mema yote anayageuza kuongeza chumvi na kujaza uongo na uchochezi.

Kuna ushahidi na reports kibao kuonesha uchafuzi wa mazingira kwenye vyanzo vya maji kule North Mara na Geita ambapo watu wamepoteza maisha na mifugo kutokana na uchafuzi wa Barrick na Acacia lakini hajaripoti wala hatusikii mabeberu wakikemea.

Barrick na Acacia ni London listed companies lakini huwaoni mabalozi wao wakisema chochote kuhusu ujambazi wanaoufanya Tanzania ila kibarua wao akiwa spotted vilio kila kona.
Mbona mabeberu hao hao ambao wana lengo la kuchafua nchi, wametoa ripoti inayoitaja Tanzania kuongoza katika kupiga vita rushwa na matumizi mazuri ya pesa za serikali katika Africa nzima?.

Mkuu vipi wale maaskofu na mapandre waliotoa ule waraka kuhusu hali ya demokrasia nchini, baadhi yao wakatishiwa kufutiwa uraia wao, hawa nao pia wamepewa pesa na mabeberu, au hawaipendi Tanzania?.

Kule Rwanda, mtu yeyote mwenye kusema mambo yanayomsema Kagame, anapewa jina la "Genocide sympathizer", au anashirikiana na waasi kuiangusha serikali ya Kagame, tabia hiyo ndio inayomfanya Kagame kugombana na dunia nzima, je unataka Tanzania kuiga mwelekeo huo?, kwamba kila mwenye mawazo tofauti basi haipendi Tanzania au anatumiwa?
 
Upumbavu mtupu freedom of press my foot, wachochezi wote wapotezwe kabisa, watu wanaolipwa ili kuchafua nchi mimi naunga kabisa mkono watiwe korokoroni, huyu mburukenge anatumika na mabeberu kumkwamisha JPM na ushahidi upo.
Double standards, misaada kutoka kwa mabwana zenu mliipokea nyinyi wenyewe na mikono yenu miwili. Pambaneni na hali zenu, mkiona ni haki kupotezana ni shauri yenu. Ila hao wanahabari mnaowakandamiza ndio hao hao ambao huwa mnawatumia kujisifia na kuendeleza propaganda zenu. Mngepiga marufuku kabisa shughuli za uanahabari Tz ingependeza zaidi. Mnaowadhulumu na kuwaua ni watanzania wenzenu sio waganda au wakenya. Yetu macho. Lakini mkome kabisa kujisifia kuhusu masuala ambayo bado hamjafikia level ya ustaarabu wa kujielewa kama wenzenu ambao wanaishi kwenye karne hii. Mkiambiwa kwamba mnaongozwa kiubabe na kiubabaishaji na dikteta wenu uchwara msianze ku'catch mafeelings'.
 
This time round lazima mtatii or else no donations and grants.

Back
Top Bottom