Duh nimepata ajira ya kuchunga ng’ombe mshahara elf 70

Akili za vijana wa sikuhizi mnawaza kuajiliwa tuuu
Ila sikuhizi marupurupu mengi ya hiyo kazi
We nenda especially kama. ana mke mzuri
 
Mshahara kidogo sana huo, hautoshi kabisa. Achana na hiyo kazi endelea na Kubeti tu mtaani kaka.
Just nipatie huo mchngo mimi kuna ndugu yangu yuko kijijini, anatafta hata kazi ya 30,000/- kwa mwezi
 
Hata kama kula, kulala na matibabu unamtegemea yeye bado huo mshahara ni mdogo sana mkuu.

Labda akifanya kuanzia 90,000. Hiyo 70 labda kwa dada wa kazi nyumbani.
 
Wakuu Kuna mtu anataka niende moshi vijijini nikachunge ng’ombe.. Nimemwambia nitampa jibu Kesho.. Hata kama nimesoma lakini mshahara huu sidhani kama unakidhi
Sina maana mbaya ila kufanya hiyo kazi ni kuingilia ajira za watu, wewe kama msomi tafuta njia zingine za kupata kipato hizo kazi waachie wenzio
 
mwambie kazi yako iwe ni kuchunga ...wachaga sio watu kabisa kuwa makini.
 
Kama roho yako imelidhika kafanye, Maisha ni popote usikate tamaa hujui Mungu kakupangia utatoka kwa kupitia njia gani..
 
Back
Top Bottom