kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 404
Wakuu Kuna mtu anataka niende moshi vijijini nikachunge ng’ombe.. Nimemwambia nitampa jibu Kesho.. Hata kama nimesoma lakini mshahara huu sidhani kama unakidhi
Duh ndio Maana kaniambia Kuna bibi wa kwenda kumtake care after her,!Jiandae kabisa kua shamba Boy, House boy na mfungua geti...
Kamua maziwa Lita tano kisirisiri then kauze ili angalau uongeze kipato
Maisha ni haya haya ndugu yangu huwezi jua kesho wewe utakuwa na status ganiDuh kimbe siku hizi hadi wachunga ng’ombe mpo jf
Haya maisha noma, ukiwa jobless sometimes unaweza kuwachukia mpaka kuku, maana bila haya wanalalama mbele yako
Mkuu bora ukabebe nzege kwa mwez 1, utapata mtaj mzr wa biashara, msomi kuchunga ng'ombe daah haimake sense kabisa
Maisha ni haya haya ndugu yangu huwezi jua kesho wewe utakuwa na status gani