Duh nimepata ajira ya kuchunga ng’ombe mshahara elf 70

Kamua maziwa Lita tano kisirisiri then kauze ili angalau uongeze kipato
 
Labda ulitaka akupe ngapi ?, Ana mifugo mingapi na anazalisha ngapi na hio 70 ni percent ngapi ya mapato.., lazima uangalie na uzalishaji.., kazi unayofanya izalishe cha ziada ili wewe ulipwe kama unaona ndogo mshauri muingie partnership uzalishe nyingi zaidi ili mgawane
 
Haya maisha noma, ukiwa jobless sometimes unaweza kuwachukia mpaka kuku, maana bila haya wanalalama mbele yako
 
Mkuu bora ukabebe nzege kwa mwez 1, utapata mtaj mzr wa biashara, msomi kuchunga ng'ombe daah haimake sense kabisa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom