THK DJAYZZ
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 2,167
- 175
kawashirikishe kwenu kama walikutuma
Khaaaa
kawashirikishe kwenu kama walikutuma
We ni boya utampataje mtoto wa tu mimba alaf unaandikaandika kiboya tu.au ulijiona hadcore kumega bila condm.ulivyo bila huruma unamwaribia mtoto drim zak
hahaaaaaaaaaaaaaaa umeua bendi sasaAnza kuchagua gereza...
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.
Nikukute ki2o kidogo cha polisi kilicho karibu nawe kwa process za mahakaman.... Rb jichukulie kabla cjafka