Duh msala nimempa mwanafunzi mimba

Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.

Kama rahaa umepata wk 3
 
Nikukute ki2o kidogo cha polisi kilicho karibu nawe kwa process za mahakaman.... Rb jichukulie kabla cjafka
 
Wewe Umempa mimba mwanafunzi wa wapi, MLIMANI, MZUMBE, SOKOINE, IFM, CBE au SAUT? jiandae kununua nepi, pampers, na kumpa chakula bora mkeo mtarajiwa!!!!!
 
Ujue nin kaka?huwa mnakosea,mbona pind mkipeana appointmnt haukuandka na kutueleza kua hyu duuu ananifeel kchz afu 2kuambie umfanyeje?kma mlifanya kimya kimya yaishe hvyo hvyo!
 
Huo mwana ni msala sana jamani ila kabla ya yote inabidi na sisi kwanza tujiulize kwa sababu wamefanya Ngono zembe inawezekana kwanza hawa watu sio wazima kabisa cha kuwashauri kwanza wakapime Afya zao alafu mengine baadae. Ila kitu kingine ni kwamba chako kula na nduguzo bwana we umeeewacha wana JF hapa ukaenda kudandia kiuno cha mwananamke sasa ndo unataka ushauri?Pole sana ila jiandae ti mvua 30 hizoooooo kukuleta sabuni sisi wala sio tabu usiwe na hofu demu wako nitakaanae mimi pindi pale utakapo enda Gerezani sawa eeeh!!!!????:lol:
 
Mimi najaribu kufikiria utakapotoka lupango utakuwa unaitwa mama nani .......... teh teh...teh
 
Gem1 tu na mimba?? Hujafaidi kabisa.! Bora tu uendelee kumchakachua kwa saana, ili hata ukiwa segerea au ukonga usijutie kabisaa.!
 
Back
Top Bottom