Utamu ule wewe, uchungu ushirikishe jF.
Kweli unajitahidi kufikiri....
Nenda Sumbawanga waambie wazee waihamishie kwako.
Mh..!kijana karibu sana segerea,yaani umekula 'wenzebo' ya mwanafunz!!!?wa2 kama nyie mkija huku huwa tunawafaidi sana
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.
ha yaan unawnda simba wakat maswala wako wakutosha,ona ss msala ulionao aka 30 ukiendeleza huu usloomo,
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.
Jiandae jiandae kunyea ndoo miaka 30

mwambie azae..anza kuweka budget a madera...kwanza mwanafunzi wa wapi? asije akawa ustawi
Majuto ni mjukuu ..... Lakini co mbaya kama tutakuita baba kijacho