Duh msala nimempa mwanafunzi mimba

We ni boya utampataje mtoto wa tu mimba alaf unaandikaandika kiboya tu.au ulijiona hadcore kumega bila condm.ulivyo bila huruma unamwaribia mtoto drim zak
 
dah! Mkuu pole sana anza kuongea na watu/jamaa wa karibu wa huyo binti ili uwatulize mzuka halafu mkubaliane kua utagharamia na kutoa huduma zote kwa mama na mtoto.
Ukienda kutoa hapo itakuwa ishu nyingine. Utakua umeua kiumbe kisicho na hatia na vile vile huyo binti anaweza akapata matatizo. Halafu ukawa msala mwingine.
 
ha yaan unawnda simba wakat maswala wako wakutosha,ona ss msala ulionao aka 30 ukiendeleza huu usloomo,
 
Mh..!kijana karibu sana segerea,yaani umekula 'wenzebo' ya mwanafunz!!!?wa2 kama nyie mkija huku huwa tunawafaidi sana
 
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.

Kwani tangia mwanzo si ulikuwa unajua 6 X 5= 30years in prison? Kama ulikuwa hujui lijue tangia sasa na jiandae kwenda na ukirudi kwa hali ya inflation ya TZ utakuta pipi inauzwa 3000Tz sh.
 
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.

Ee bwana ee, yaani wee ulikuwa unapiga pekupeku? Hivi kama mmoja wenu ana ukimwi si tayari mmeambukizana?
 
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.

mwambie azae..anza kuweka budget a madera...kwanza mwanafunzi wa wapi? asije akawa ustawi
 
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.

Pole sana kaka!kibarua unacho!nakushauri wasiliana na wazaz wake kabla hawajaamisha hiyo mimba kuja kwako au kunyea ndoo.pole sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom