Duh msala nimempa mwanafunzi mimba

kumbe mtoto mwenyewe ni wa chuo tena mwaka wa 3? lol! Kasema yupo CHUO CHA KATA-UDOM,usitoe oa kabisa ila hapo inatakiwa ujipangie mahali ww wakibisha achana nao kwan hawawez kuku babu SEYA
 
Ulimpaje? si ilikuwa kwa hiari naye akapokea. Kama hukujua matokeo yake, sasa amejua na hivyo ni swala lenu pamoja kulitafutia suluhisho. Usitusumbue..........
 
Sema;nimemsababishia mimba mwanafunzi,ukisema umempa unamaanisha hiyo mimba ulikuwa nayo wewe then ukaamua kumpa huyo binti.
 
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.

Kajisalimishe kituo cha polisi.
 
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.

kama ni mtoto wangu ungechagua mawili, 1. mochwali au 2. Segerea
 
Subiri na wewe wakubandulie binti yako ndo uone kama inauma ama vp?
kisha binti anakataa na shule ndo utakapoona mtenda akitendewa?.........
 
Binti yangu amepewa mimba na jamaa amekimbia, usije ukawa wewe, ehe, uko wapi? Jilete tuyamalize.
 
Well its just a joke! lakini kuna kipindi iliwahi kunitokea miaka ya mbali kidogo. Kuna dada mmoja niliwahi kufukuzia kwa sana akanitolea nje kwa ahadi kibao. Mara ooooh sijawahi fanya! Naogopa bikra yangu itaharibika nk! Baabae akaanza kujilengesha kwangu tena kwa ukarimu wa hali ya juu. Tukajikuta tunaanza kumegana. Katika zoezi hilo hakuna siku sikuvaa helmet. Ndani ya week 2 akaja na hadithi za mimba! Jopo likakaa na kupiga hesabu za mbili na mbili. Ikaamuliwa akapime kama kuna kiumbe kweli. Vipimo positive anacho kiumbe! Jasho likaanza kunitoka ingawa pia nilijiuliza hizo condom zilikuwa zikivuja nini. Jamaa yangu wa kiufundi akashauri ultra sound itatuonyesha ni ya muda gani. Tukamnywesha maji tukmpiga ultra! Eebanae mimba ya miezi 3! nilichoka wakuu. Njia alopitia sijui mpaka leo. Akiniona hugeuza njia! So saa nyingini hawa wenzetu huwalengesha wasio wahusika. Likikutoka hili uwe unatumia helmet kaka la sivyo usiendeshe bodaboda.
 
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.

bila shaka wewe ni kondakta wa daladala
 
Ingekuwa ni kweli usingepata hata nguvu ya kuandika hii thread. Ila kama uliwaza ingekuwa vipi kama umempa mwanafunzi mimba, cku hizi inabidi upewe adhabu kama wanazopewa vibaka na wananchi.
 
Ukome,utachezea gerezani wewe,mademu wote hao bado unahangaika na madent?au ndo unakimbilia kwenye urahisi wa kuhonga?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom