Lol...hii nimeipenda kama basi atapewa hiyo nafasi ya kuchagua.. In short amelikoroga hivyo itambidi alinywe tu.Anza kuchagua gereza...
Lol...hii nimeipenda kama basi atapewa hiyo nafasi ya kuchagua.. In short amelikoroga hivyo itambidi alinywe tu.
yeye asubiri mimba yake kule lupango tena mimba zile unazaa mapacha tu.na we subiri upewe mimba na wake huyo bint
Wakuu mpo kwenye jukwaa la utani. Endeleeni kutaniana.
sio wanataniana, wezake wakati wanazungusha sahani la kusaka hela ili waoe yeye anakandamiza vitoto.. sasa hata wewe unadhani ushauri gani utampatia..