Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Mfunyukuzi naona ufunyukuzi wako umezidi, umeanza hata kuwadhalilisha watu wenye matatizo kwanye JF? imagine ungeumbwa wewe kama huyu jamaa, ingekuwaje. chunga sana, mwombe mungu aliyekujalia sura na afya nzuri.