Duh! Licha ya Tz kutuuzia mahindi mengi, ila uuzaji wa mazao ya kilimo nje ya nchi umeshuka 55%

Hawa majirani zetu huwa vigumu kuwaelewa, hututambia humu kwamba wanatusaidia kila wakituuzia mahindi, ilhali tunanunua kwa hela zetu, sasa imebainika sisi ndio wakombozi wao maana mauzo yao ya mazao ya ukulima yameshuka asilimia 55%, ina maana tusingenunua hayo mahindi yangeozea huko na kuzidisha hali yao kuwa ngumu.
-----------------------

Tanzania's agriculture exports fall by 55 percent year-on-year in August 2019 to just $508.8 million from $1.129 billion previously largely due to a decline in cashew nuts exports, the country's main cash crop -- central bank data
Tumewasaidieni sababu msingenunua mngekufa njaa.
 
Propaganda hzo...hzo order ziko wapi
Korosho zote zimeuzwa na tayari serikali imetia 700M USD kibindoni tayari kwa maandalizi ya msimu huu ulioanza mwezi huu ambayo mavuno yake ni ya kufa mtu

Tunategemea kupata USD 1B kwenye mauzo ya msimu huu
 
Hizi blah blah kawaimbie MaCCM wenzio, ila mahesabu yako wazi, mapato ya ukulima yameshuka hadi $508.8 million kutoka $1.129 billion
Kwa nchi maskini kama nyie sio poa, mjifikirie na kujitafakari
Kwahiyo hayo mapato umeambiwa yamepungua kutoka kwenye mahindi kwamujibu wa hiyo data yako?
 
Kwahiyo hayo mapato umeambiwa yamepungua kutoka kwenye mahindi kwamujibu wa hiyo data yako?

Sio data zangu, soma uelewe....
Mapato ya mauzo ya ukulima yameshuka 55%, sasa ukizingatia kipindi hicho sisi ndio tumenunua sana, ina maana kama tungefuata Zambia na kuwaacha nyie, hayo mauzo yangeshuka 95%
Bila ya sisi mtateseka sana licha ya kuwa na nchi kubwa yenye rotuba kila sehemu maana hamjui ujanja wa biashara, kazi kupiga piga kifua huku mkiogelea kwenye umaskini.

Mlitucheka tulipofuata soko Uchina, mauzo yetu kwennda Uchina yameongezeka 74% ndan ya miezi michache, akili kubwa sio pumba.
 
Unatumia nguvu nyingi kujaza uzi bla bla ambazo sidhani hata kama kuna mtu anapoteza muda kuzisoma labda waimba mapambio wenzio, cha msingi takwimu zinaonyesha mapato yenu ya kilimo kwenda nje yameshuka 55% ukizingatia sisi ndio tumenunua sana kutoka kwenu, hivyo tungefuata mahindi kwengine kama vile Zambia, mngesota na kukauka balaa, sisi huwakomboa sana hata mkijipiga kifua.

Bila ya sisi mtaendelea kuogelea kwenye lindi la umaskini.
Kwa hilo hapana msipo nunua nyie kuna wenzenu wenye njaa south Sudan tutawauzia hata hivyo nyie mna njaa lazima mnunue maana sijaona jitihada za serikali ya Kenya kukabiliana na lindi la umaskini ulio topea kwa sababu ya mazingira yenye ukame.
Kenya ni ujanja ujanja tu lakini mmeshindwa hata kuwa na miundombinu ya umwagiliaji (irrigation scheme) ndio ingewasaidia.
 
South Sudan ni maskini wa kutupwa kama nyie, mnategemea sana shilingi yetu sisi matajiri, hamna soko la maana kwenu kama sisi.
Mahindi huwa tunanunua hadi kutoka Brazil maana hela tunazo, sasa mauzo yenu yameshuka 55% na hapo sisi tulinunua sana kutoka kwenu, tungewaacha mngeteseka sana nyie.
 
Pia shukuruni Mungu Kenya bila inchi jirani na yenye ardhi safi na upendo wa dhati kama Tanzania mngekufa na njaa kwasababu wengi wa wakenya hawana uwezo wa kununua chakula kwa bei ya wastani mnategemea mazao ya bei rahisi kutoka Tanzania.
Kenya ni inchi ya wanufaika wa chache
Muwe na heshima kwetu sisi ni ma Baba ninyi ni watoto
 
Naona umeleta maneno badala ya facts
Hahaha eti order?

Unafikiri korosho ni kama njugumawe?
Korosho ni green gold, ile ni magnetic ukiwa nayo tu lazima utafutwe, ndio maana hata hapo Kenya huwezi kuta korosho inauzwa kwa walalahoi!
 
Naona umeleta maneno badala ya facts
Ulishaona wapi korosho imedoda?
Duniani kote wanajua Tanzania kuna korosho, zitauzwa kama zilivyokua zikiuzwa miaka yote zaidi ya 60 Tanzania ilivyokua ikilima korosho

Korosho zikishakusanywa kwenye cooperative societies utaona meli zinavyofukuzana baharini kuziwahi korosho zetu
 
South Sudan ni maskini wa kutupwa kama nyie, mnategemea sana shilingi yetu sisi matajiri, hamna soko la maana kwenu kama sisi.
Mahindi huwa tunanunua hadi kutoka Brazil maana hela tunazo, sasa mauzo yenu yameshuka 55% na hapo sisi tulinunua sana kutoka kwenu, tungewaacha mngeteseka sana nyie.
Social media bana 😂😂😂 una login unaita watu masikini wa kutupwa alafu una log out unachemsha zako mananga, sukuma, terere zisizo na chumvi wala mafuta kisha unakula, asee 😂😂😂
Afadhali ya masikini wa Tanzania anajimudu mara kibao.
 
Mkiacha kununua tutauza na kulisha nchi ili kupunguza mfumuko wa bei ya vyakula kam sasa.
Na bro kaongea point labda ww ndio bla bla kwako.
Unatumia nguvu nyingi kujaza uzi bla bla ambazo sidhani hata kama kuna mtu anapoteza muda kuzisoma labda waimba mapambio wenzio, cha msingi takwimu zinaonyesha mapato yenu ya kilimo kwenda nje yameshuka 55% ukizingatia sisi ndio tumenunua sana kutoka kwenu, hivyo tungefuata mahindi kwengine kama vile Zambia, mngesota na kukauka balaa, sisi huwakomboa sana hata mkijipiga kifua.

Bila ya sisi mtaendelea kuogelea kwenye lindi la umaskini.
 
Tayari data zinasema mauzo yenu yamepungua..
Ulishaona wapi korosho imedoda?
Duniani kote wanajua Tanzania kuna korosho, zitauzwa kama zilivyokua zikiuzwa miaka yote zaidi ya 60 Tanzania ilivyokua ikilima korosho

Korosho zikishakusanywa kwenye cooperative societies utaona meli zinavyofukuzana baharini kuziwahi korosho zetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom