Duh kuna mdada kanizimia...................

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Jamani kuna mdada tulikutana kwenye mkutano fulani hivi Arusha, dah tukawa na mawasiliano ya kikazi mwisho yakaingia kwenye page nyingine.

Tabu ni kwamba she is too old for me nakadiria tu kuwa inawezekana kanizidi miaka kumi na mbili mpaka kumi na tano. Halafu anaonekana yuko desperate kuolewa na mimi siko upande huo, at least sio kwa mwanamke wa tofauti hii, ila naogopa kum dissapoint sa hapa sijui nimsaidieje wadau................
?
 
Uko single?
nani alimtongoza mwenzake kati yako na yeye?
kama ni wewe hukuona tofauti ya umri?

Pole sana dude,muoe tu maana kakupenda kitu ambacho
utakipata kwa wachache sana katika dunia ya sasa
 
Uko single?
nani alimtongoza mwenzake kati yako na yeye?
kama ni wewe hukuona tofauti ya umri?

Pole sana dude,muoe tu maana kakupenda kitu ambacho
utakipata kwa wachache sana katika dunia ya sasa
Kuna kitu hujakinote mdadaa, siku hizi ni mara chache sana watu wanatongozana.............
pili, sidhani kama ananipenda ila yuko desperate na ndoa,
Niko single but not looking for anything but looking for something
She is not something that i am looking
 
Sawa dada nimekusoma,ngoja
wadau wengine wakushauri zaidi
 
mkwe ukidundwa usiniite! nawategemea jioni. usisahau hiyo gari mliyoninunulia ije na full tank ya kianzio

mkwe gari ipo tayari nakutaftia dereva.
Halafu mi baunsa, bamkwe akikuzingua niite nimpe za uso.
 
hivi hata wewe hujatambulishwa? Musimor tutambulishe huyo wifi.
Mambo mazuri hayataki haraka mama we subiri tu maana tangazo lake litakuwa kubwa kuliko tume kutangaza mshindi wa uchaguzi wa Igunga
 
Sitaki mtoto wangu awe wa nje ya ndoa, nataka kuzaa na mwanamke ninayempenda ili nipende kila kilicho chake
Kama upo firm namna hii...then ni rahisi kweli kumwambia.....nashangaa unasema unaogopa kum disappoint...au umesha 'onja' kidogo?
 
Uko single?
nani alimtongoza mwenzake kati yako na yeye?
kama ni wewe hukuona tofauti ya umri?

Pole sana dude,muoe tu maana kakupenda kitu ambacho
utakipata kwa wachache sana katika dunia ya sasa

kuna wengine ukimuona ni kama kabinti kadogo. Na huwezi uliza umri gafla gafla! Unarusha mawe na kumaliza game,ukijakujua umri utampa shikamoo!
 
Back
Top Bottom