EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,091
Jamani kuna mdada tulikutana kwenye mkutano fulani hivi Arusha, dah tukawa na mawasiliano ya kikazi mwisho yakaingia kwenye page nyingine.
Tabu ni kwamba she is too old for me nakadiria tu kuwa inawezekana kanizidi miaka kumi na mbili mpaka kumi na tano. Halafu anaonekana yuko desperate kuolewa na mimi siko upande huo, at least sio kwa mwanamke wa tofauti hii, ila naogopa kum dissapoint sa hapa sijui nimsaidieje wadau................?