Duh, kumbe uchaguzi ulio huru na wa haki ni hisani ya Dr. John Pombe Magufuli na si matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,037
22,728
Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla...

"We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo yote aliyokusudia at the same time huku akiruhusu demokrasia nayo ishamiri, ila ukweli utaendelea kubaki ni ukweli daima kwa katiba hii na kasi hili ya rais Magufuli, CCM bado itaendelea kutawala Tanzania milele.

Dr. John Pombe Magufuli, aka.JPM, Kasi Yako ya Maendeleo ya Tanzania Unaoifanya, Utailetea CCM Ushindi Kishindo Katika Uchaguzi Wowote, Tunakuomba Please Please Please, Ruhusu Tuu Ushindani wa Haki, Wazi na Usawa Kwa Vyama Vyote!"

Naendelea kutafakari...
 
Kwa Taifa la Watu Wapuuzi na Wasiojielewa kama Tanzania, Kweli Magufuli ndiyo Mwamzi wa kila Kitu. Ila kwa Binadamu na Watu wenye akili zao kama Mataifa Mengine Ikiwemo Kenya, huwezi waamulia Wananchi unachotaka kukifanya kama Katiba hairuhusu. Nimetoa referance kwa Kenya maana wako ndani ya Afrika Mashariki.

Tatizo lipo kwetu Watanzania, ni haki hakuna Tofauti na Maiti. Yaani Kila Jambo ni Kulalamika tu. Mnyime Elimu bora Umtawale Milele, Slogan ya CCM.

Ukombozi wa Kweli Tanzania Utaletwa na Watanzania Wenyewe watakapochoka na Ushenzi wa Tawala za CCM na Kujitambua.
 
Matokeo ya kuwa na elimu mbovu na kujitoa ufahamu na kuto-elimika na kupenda kujikomba ndio matokeo yake haya.
Hata hivyo lengo langu kuanzisha mada hii halikuwa kumjadili Pascal Mayalla tu kama yeye, la hasha...lengo langu ni kutafakari tu imewezekanaje hadi Watanzania tumefikia hapa tulipo. Hiyo nukuu yake inawakilisha msimamo wa idadi kubwa ya Watanzania iliyoruhusu mihimili yote ya dola kwenda likizo na kuacha majukumu yake yote mikononi mwa mtu moja.

Kinachotisha zaidi na kuhuzunisha ni kwamba kwa sasa hatma ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko mikononi mwa mtu moja tu, Dr. John Pombe Magufuli! Katiba imetekwa, inateswa na kuna hatari ya kupotezwa kama ilivyotokea kwa baadhi ya raia wa nchi hii waliojaribu kukomaa wakihoji kulikoni! Hakuna tena cha sheria, kanuni au taratibu, ni kauli tu ya mtu moja!
 
masoudkipanya_B4o0u68j7Kl.jpeg
 
Kwa Taifa la Watu Wapuuzi na Wasiojielewa kama Tanzania, Kweli Magufuli ndiyo Mwamzi wa kila Kitu. Ila kwa Binadamu na Watu wenye akili zao kama Mataifa Mengine Ikiwemo Kenya, huwezi waamulia Wananchi unachotaka kukifanya kama Katiba hairuhusu. Nimetoa referance kwa Kenya maana wako ndani ya Afrika Mashariki.

Mhimili-pekee.jpg

Mhimili ni moja tu...na bado…!
 
Hata hivyo lengo langu kuanzisha mada hii halikuwa kumjadili Pascal Mayalla tu kama yeye, la hasha...lengo langu ni kutafakari tu imewezekanaje hadi Watanzania tumefikia hapa tulipo. Hiyo nukuu yake inawakilisha msimamo wa idadi kubwa ya Watanzania iliyoruhusu mihimili yote ya dola kwenda likizo na kuacha majukumu yake yote mikononi mwa mtu moja.

Kinachotisha zaidi na kuhuzunisha ni kwamba kwa sasa hatma ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko mikononi mwa mtu moja tu, Dr. John Pombe Magufuli! Katiba imetekwa, inateswa na kuna hatari ya kupotezwa kama ilivyotokea kwa baadhi ya raia wa nchi hii waliojaribu kukomaa wakihoji kulikoni! Hakuna tena cha sheria, kanuni au taratibu, ni kauli tu ya mtu moja!

Inasikitisha kuona kuwa hata wewe mkongwe unashindwa kuelewa mtindo unaotumiwa kupeleka message kwa wahusika, ni kweli bwana huyu toka aitwe bungeni amebadili namna ya kutuma ujumbe kwa watawala na bahati mbaya amewachanganya baadhi ya wasomaji wake na baadhi tunaendelea kumwelewa vizuri tu
 
Amini usiamini namuelewa vizuri sana ila yawezekana wewe ndio hunielewi mimi na hauko peke yako, mpo wengi.
 
Nimesoma tena na sasa nakubali kusema kuwa nimekuelewa na unitoe ktk kundi la hao wengi!...turudi kwenye hoja ya Katiba na Hisani kutoka magogoni
 
Hata hivyo lengo langu kuanzisha mada hii halikuwa kumjadili Pascal Mayalla tu kama yeye, la hasha...lengo langu ni kutafakari tu imewezekanaje hadi Watanzania tumefikia hapa tulipo. Hiyo nukuu yake inawakilisha msimamo wa idadi kubwa ya Watanzania iliyoruhusu mihimili yote ya dola kwenda likizo na kuacha majukumu yake yote mikononi mwa mtu moja.

Kinachotisha zaidi na kuhuzunisha ni kwamba kwa sasa hatma ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko mikononi mwa mtu moja tu, Dr. John Pombe Magufuli! Katiba imetekwa, inateswa na kuna hatari ya kupotezwa kama ilivyotokea kwa baadhi ya raia wa nchi hii waliojaribu kukomaa wakihoji kulikoni! Hakuna tena cha sheria, kanuni au taratibu, ni kauli tu ya mtu moja!
Mkulu ameanza kuwaterrorize wafanyakazi wa Serikali kupitia tumbua tumbua yake. Then akamalizia na CCM kupitia Teuzi mbalimbali. Kwa sasa imefikia hata kurudi bungeni ni kwa hisani ya Mkulu.... Ndiyo maana kila mtu amepanic anajaribu kujipendekeza ili 2020 akumbukwe. Tupende tusipende, jamaa ana control kila kitu na kila mahali. Total damage ya mfumo wake tutauona Akitoka.
 
Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla...

"We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo yote aliyokusudia at the same time huku akiruhusu demokrasia nayo ishamiri, ila ukweli utaendelea kubaki ni ukweli daima kwa katiba hii na kasi hili ya rais Magufuli, CCM bado itaendelea kutawala Tanzania milele.

Dr. John Pombe Magufuli, aka.JPM, Kasi Yako ya Maendeleo ya Tanzania Unaoifanya, Utailetea CCM Ushindi Kishindo Katika Uchaguzi Wowote, Tunakuomba Please Please Please, Ruhusu Tuu Ushindani wa Haki, Wazi na Usawa Kwa Vyama Vyote!"

Naendelea kutafakari...
Ni Tanzania pekee, ambalo nchi haitawaliwi kwa matakwa ya Katiba ya nchi, Bali utashi wa mtu akiyeko madarakani.......

Hivi Rais Magufuli aliapa kuitii na kulinda Katiba ya nchi, kabla hajaingia madarakani kiusanii??

Tukumbuke usia aliotuachia Mwalimu Nyerere kabla hajafariki, ya kuwa "Tunamchagua Rais wetu, ambaye anaapa kuitii na kuilinda Katiba na kama Rais huyo hataiheshimu Katiba yetu na ataamua kuivunja, Rais wa aina hiyo HATUFAI" mwisho wa kunukuu
 
Na neno HATUFAI ni zito kabisa. Maana yake aondolewe kwa hiari au lazima. Kuwa na Rais ambaye anavunja na kutoheshimu katiba ni hatari sana hata kwa siku moja tuu.
 
Mkulu ameanza kuwaterrorize wafanyakazi wa Serikali kupitia tumbua tumbua yake. Then akamalizia na CCM kupitia Teuzi mbalimbali. Kwa sasa imefikia hata kurudi bungeni ni kwa hisani ya Mkulu.... Ndiyo maana kila mtu amepanic anajaribu kujipendekeza ili 2020 akumbukwe. Tupende tusipende, jamaa ana control kila kitu na kila mahali. Total damage ya mfumo wake tutauona Akitoka.
Hakika nchi hii kama Taifa ndiko tulikofikia, badala ya kufanya kazi zetu kwa weledi, wote tunapaswa tujiunge na "praise and worship team for Magufuli" na yeyote ambaye atakuwa anatoa "construtive criticism" kwenye ile "anti for Magufuli" basi ujue atatumbuliwa tu.......

Hivi tujaribu ku-imagine ni kwanini IGP Sirro bado yupo kazini, wakati wananchi wengi wanapigwa risasi na watu wasiojulikana, wananchi kama akina Azory Gwanda na Ben Saanane, wametoweka na hawajukikani walipo na tokea Mbunge wa upinzani Tundu Lissu, tokea ashambukiwe kwa risasi miaka 2 iliyopita, hakuna mtuhumiwa hata mmoja aliyekamatwa na kuhojiwa
 
Mayalla anapigania ugali tu. Ni miongoni wanaoipotosho CCM. CCM kwa sasa kinaelekea kuwa chama hatari kitakachotugawa
Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla...

"We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo yote aliyokusudia at the same time huku akiruhusu demokrasia nayo ishamiri, ila ukweli utaendelea kubaki ni ukweli daima kwa katiba hii na kasi hili ya rais Magufuli, CCM bado itaendelea kutawala Tanzania milele.

Dr. John Pombe Magufuli, aka.JPM, Kasi Yako ya Maendeleo ya Tanzania Unaoifanya, Utailetea CCM Ushindi Kishindo Katika Uchaguzi Wowote, Tunakuomba Please Please Please, Ruhusu Tuu Ushindani wa Haki, Wazi na Usawa Kwa Vyama Vyote!"

Naendelea kutafakari...
 
Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla...

"We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo yote aliyokusudia at the same time huku akiruhusu demokrasia nayo ishamiri, ila ukweli utaendelea kubaki ni ukweli daima kwa katiba hii na kasi hili ya rais Magufuli, CCM bado itaendelea kutawala Tanzania milele.

Dr. John Pombe Magufuli, aka.JPM, Kasi Yako ya Maendeleo ya Tanzania Unaoifanya, Utailetea CCM Ushindi Kishindo Katika Uchaguzi Wowote, Tunakuomba Please Please Please, Ruhusu Tuu Ushindani wa Haki, Wazi na Usawa Kwa Vyama Vyote!"

Naendelea kutafakari...

Paskali ni mwiba mchicha!
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom