Duh kumbe nikija Tanzania naweza kuishia kuiota Ulaya tena?

Hatuwezi kufika kama Nchi bila taratibu, taratibu na sheria ndio msingi wa Maisha ya binadamu.

Tanzania ni moja ya Nchi yenye wakimbizi wengi sana hivyo lazima kuwe na taratibu madhubuti ili kulinda Heshima ya Taifa katika uso wa Dunia.

Nida wako vizuri sana tatizo ni pale sisi Wananchi hatupangilii mambo yetu mapema tunasubiri mpaka ukomo ndio tukajaze sehemu husika.

Kiufupi pamoja kuwa ni mlolongo kiasi ila matokeo yake ni kumpa thamani Mtanzania hivyo ndugu zango tuunge mkono Serikali yetu kwa faida yetu na Vizazi vyetu.

Mungu bariki Tanzania yetu na Mungu mbariki Rais wetu, Amani kwa wote wenye kufikiri vyema.
 
Mimi kuna kipindi nilirudi nikapata tabu saaana!ila gamba lenyewe linakaribia kuisha ndio picha la kihindi litapoanza!Mimi nashangaa Airport unaulizwa maswali yakijinga hadi unatamani urushe ngumi!ila ukifika nchi za wenzetu hawana longolongo kama za bongo

Sent by Diaspora
Sure sure
 
Back
Top Bottom