Duh, Kumbe Mpaka huku Shetani naye Yupo?

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,762
Ni hatari, kumbe shetani alishazama huku katika Style za uchezaji long time. Huwa tuajua tunaangalia watu wa kawaida, kumbe ni mashetani ndani ya watu wa kawaida?
Fundisheni watoto wenu wafaahamu iman zao kabla ha kupotea.

Fuata Link hii uone michezo ya Kishetan inayopatikana katika Dancing Styles:-

 
Hizi imani ni mzigo mzito itafika mahali hata kula itakuwa dhambi.
Haya mambo saa nyingine ukiyaendekeza sana utachanganyikiwa. Siku moja nilisoma sehemu kuwa hili vazi la suti lilitengenezwa na watu walio katika imani ya freemasonry kwa ajili ya mambo yao. Sasa cha kushangaza hilo vazi lenyewe ndilo vazi pendwa kwa "wapendwa katika kristo" karibia wote. Nilichoka kabisa!
 
Back
Top Bottom