Duh jide bhaaaaaas,mwacheni anaconda

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,378
Kwa takribani miaka yote,huyu dada anashikilia tuzo ya mwanamuziki bora wa kike,yaani ni noma,wadada jipangeni sana kwa jide,hyu mwanamke hatar,msipoangalia miaka yote mtashikilia tuzo za uchipukizi..BIG UP JIDE...TEAM ANACONDA OYEEEEEEEEEEEE??????? NANI AMENUNA????
 
Hongera kwake na wengine wote waliopata Tuzo za KILI.
 
she is always on top,nyie ongeeeeni weeeeee mpaka bhas,u cant change the fact

Namuheshimu JIDE kwa kuepuka kuwa na maskendo ya mjini lakini pia kwa kuwa na fikra za kiujasiriamali katika kuongeza kipato chake ( kuwa na bendi na mgahawa wa nyumbani lounge) .Fikra hizi za ujasiriamali ndizo zinamjengea chuki na akina ruge ambao hawataki wasanii wapate mafanikio ili waendelee kuwa chini ya himaya yao kandamizi. Hongera JIDE watanzania watafutaji wanakuunga mkono.
 
PhD heshima mbele mkuu...
Then i hope bado huja sign out na kupotelea usingizini.
Let me ask u...
Tangu mwaka jana zilipokwisha tolewa tuzo za Kili mpaka mwaka huu je Lady JD katoa nyimbo gani?
Na je nyimbo alioitoa ina zaidi ya Miezi minne?
Je msanii bora wa kike tutampata kwa style hiyo?
Au tutampata kwa wingi wa kura ambao hatujui ni safi au chafu?
Rejea kituko cha tuzo hizo pale walipompa Mpoki Tuzo kwa nyimbo ambayo alicopy kwa contender wake ktk hizohizo tuzo...

Hebu tuhoji basi je Jide kafanya nini cha maana kwa msimu mzima wa Tuzo kilichopelekea japo ajumuishwe kwenye category hiyo?

NB: swali kwa PhD.
Wengine nyoosheni vidole ntawauliza mmoja mmoja.
 
we ni kati ya wale walegeza suruali?
hv huwa mnalegeza kwa lipi?
tayali kwa kutenda au kutendwa?
huna jipya kaa mkao wa kushughulikiwa, jide juu, juu, juu zaidi!
 
Kaka na mimi naomba nikuulize swali kabla ya PHD kujibu swali lako kwa mtazamo wako we unadhani nani anastahiri kupata tunzo hiyo tofati na Jide
 
PhD heshima mbele mkuu...
Then i hope bado huja sign out na kupotelea usingizini.
Let me ask u...
Tangu mwaka jana zilipokwisha tolewa tuzo za Kili mpaka mwaka huu je Lady JD katoa nyimbo gani?
Na je nyimbo alioitoa ina zaidi ya Miezi minne?
Je msanii bora wa kike tutampata kwa style hiyo?
Au tutampata kwa wingi wa kura ambao hatujui ni safi au chafu?
Rejea kituko cha tuzo hizo pale walipompa Mpoki Tuzo kwa nyimbo ambayo alicopy kwa contender wake ktk hizohizo tuzo...

Hebu tuhoji basi je Jide kafanya nini cha maana kwa msimu mzima wa Tuzo kilichopelekea japo ajumuishwe kwenye category hiyo?

NB: swali kwa PhD.
Wengine nyoosheni vidole ntawauliza mmoja mmoja.

sijalala mkuu nilipo hapa ni mchana. Naongozwa na fikra kumuona JIDE kama mwanamziki wa kike aliyesimama imara dhidi ya mfumo wa kinyonyaji baada ya kuijitambua, sihitaji kujua katoa nyimbo ngapi ili kumuunga mkono maana hata hao waliotoa nyimbo kwangu sioni tija, nachokiheshimu ni heshima na jitihada za mtu binafsi katika kusimamia mambo yake. Jioni njema ndugu yangu.
 
OK Kiongozi so kwa maoni yako hayo umeonekana kumkubali Jide kama Jide na si kwa 7bu ameshinda tuzo ya kuchaguliwa kwa kura ambazo Mzee Makamba aliwahi kuziita za maruhani...
Ok nikutakie usiku mwema mkuu.

OK mwingine...
 
Kaka na mimi naomba nikuulize swali kabla ya PHD kujibu swali lako kwa mtazamo wako we unadhani nani anastahiri kupata tunzo hiyo tofati na Jide

Asante Charles kwa swali lako...
kwa kifupi mfumo wa utoaji tuzo hizi haujakaa sawa.
Tuzo hizi ni tuzo ambazo kwa kweli ni worst ever ktk utoaji wa tuzo, na ndio maana hata Jide mara kadhaa ashanukuliwa akizisaga japo huwa anashinda pia.
Tuzo hizi ni tuzo ambazo mshiriki fulani anaweza kuwa na ngoma kali zinalizobamba kwa kipindi kireefu sana ktk mwaka, lakini akatokea mpinzani wake ambae nyimbo yake well ni kali ila ikawa haijabamba kama za huyo mwenzie so akaamua kuwekeza katika kutuma sms na end of the Day huyo mwenye nyimbo kali akaangukia komwe...

Hapo ni lazima niwe muwazi, watever Jide kashinda au hata angeshindwa mie tuzo hizi nilishazivuaga nguo those years.

Na ndio maana kwa waliokuwa pale wameeleza masikitiko yao kuwa washindi weengi hawakuwepo jukwaani, hii ni kutokana na tuzo hizi kudharaulika naweza sema.

Ok swali la nyongeza?
 
Back
Top Bottom