Duh! Jamaa apiga mitungi ya harusi ya mshikaji wake mpaka kufa!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh! Jamaa apiga mitungi ya harusi ya mshikaji wake mpaka kufa!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, Aug 1, 2011.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa kutoka Zambia alikuja kuhudhuria harusi ya rafiki yake wa kufa na kuzikana mtoto wa Jaji Mark Bomani, Clement Bomani, amekufa baada ya kupiga mitungi ya nguvu pale kwenye ukumbi wa Mlimani City. Ingawaje kuna taarifa kuwa jamaa alilamba sana na 'unga' wa mhogo lakini polisi wanasema ni Whiskey tu kwani wamekuta chupa hiyo na glass nne juu ya meza! For more information open the sources below!

  Sources: Daily News | The leading Online news edition in Tanzania and HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #d7f2f2"][TABLE]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #f4fdfd"][​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]


  Source for these photos is IssaMichuzi blog
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: redFont"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Ulevi nomaa
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Huyo jamaa aliyebeba Vielelezo ndio "INTELEJENSIA" yetueee...
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Aiseee jamaa alikuwa na kiu sana nini!? R.I.P.
   
 5. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hiyo ,ilikua ni foursome, walipiga vinywaji kule kwenye party , wakarudi hotelini wakapiga cocaine huku wakisubiri kupiga sex ya kufa mtu, ila bahati mbaya cocaine ikamaliza mambo mapema, huyu Omar ndio yule Msanii wa Uingereza ?
   
 6. papason

  papason JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Mitungi na unga tuuu impele mtu futi sita ki rahisi rahisi? au kuna namna nyigine
   
 7. F

  FUSO JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  inaelekea alipiga urabu hata bila kula kwanza - duh safari yake toka zambia ikaishia mlimani city - kweli urabu bila mipangilio ni nomaaaaa.....

  sisi wazoefu tunapiga msosi kwanza wa nguvu - then baada ya one hour - haya lete sasa hivyo vikali vyako uone - handondoki mtu hadi wanazima mziki na taa za ukumbini na mezani hakuna hata chupa moja inayojipendekeza. watu wahahamia club nyingine hadi asubuhi kweupeeeee....peeee
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Duu! Harusi imezaa msiba
   
 9. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watch out mkuu. It seems hata yeye alijiita the so called mzoefu. When the hour of your death approaches no uzoefu will save u.
   
 10. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ama kweli ulevi nomaaaaaa!!
   
 11. s

  serious1 Member

  #11
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi si wanadai wote walikua ni wanaume au sijasoma vizuri...maana sijaelewa mkuu ebu :car:
   
 12. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Pombe noumer
   
 13. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Kuna chembe za ushoga hapa... Duh! Mungu atuepushie mbali.
   
 14. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]Mgonjwa aliyebugia pombe atoroshwa hospitali[/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"]Monday, 01 August 2011 20:36[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  0digg

  Aziza Masoud
  MGONJWA aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), baada ya kukutwa mahututi ndani ya Hoteli ya Southern Sun Dar es Salaam, amedaiwa kutoroshwa hospitalini hapo.

  Juzi, mgonjwa huyo alikutwa mahututi hotelini hapo akiwa na wenzake wawili, mmoja alifariki dunia kwa kile kilichodaiwa kuwa walibugia pombe kupita kiasi kwenye harusi ya mtoto wa jaji mmoja.

  Ofisa Uhusiano Msaidizi MNH, Jezza Waziri, alisema mgonjwa huyo ambaye alipelekwa hospitalini hapo Jumapili mchana na wenzake wawili, ambao kuna raia wa Uingereza na alichukuliwa kinyume na taratibu za kitabibu na mtu anayedaiwa ndugu yake.

  "Baada ya kupokelewa kwa wagonjwa hao wawili, walifanyiwa vipimo Jumapili hiyo hiyo na kuruhusiwa, lakini mmoja alihitaji uchunguzi zaidi na alilazwa wodi namba sita Mwaisela," alisema Waziri.

  Alisema ilipofika saa 10:00 alasiri na 2:00 jioni, mtu mmoja aliyedai kuwa ni ndugu yake alikuja hospitalini hapo na kumchukua mgonjwa huyo, huku akisisitiza kuwa anataka akafanyiwe uchunguzi zaidi na kumchukua bila ruhusa.

  Waziri alisema mgonjwa huyo alikuwa kwenye taratibu za kufanyiwa uchunguzi, ili kubaini tatizo.
  Hata hivyo, Waziri alisema kufuatia tukio hilo, hospitali hiyo haina uwezo wa kutoa taarifa yeyote juu ya vipimo, kwa sababu mgonjwa huyo alikuwa katika taratibu za kufanyiwa vipimo kabla ya hajatoroshwa.

  Pia, Waziri alisema maiti ya raia wa Zambia iliyopelekwa pamoja na wagonjwa hao, bado imehifadhiwa chumba cha maiti hospitalini hapo na wanasubiriwa ndugu zake.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile, alisema wanaendelea na uchunguzi juu ya kifo hicho, ikiwamo kupeleka mabaki ya vinywaji kwa mkemia mkuu.

  Mgonjwa aliyebugia pombe atoroshwa hospitali[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 15. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red: mbona kuna mgongano: anayedai kuwa ndugu wa mgonjwa anadai kumchukua mgonjwa ili akafanyiwe uchunguzi zaidi na hapo hapo Muhimbili wamelaza mgonjwa ili wafanye uchunguzi zaidi. Je, yule ndugu si angesubiri uchunguzi wa kina wa hapo Muhimbili badala ya kumtorosha mgonjwa kwa sababu ile ile? Je, hao wanaodai ni ndugu walihofia matokeo ya uchunguzi wa Muhimbili? Je, Muhimbili sio wazuri kwenye uchunguzi na ndio maana viongozi wetu uenda nje ya nchi kutibiwa?

  Hawa ndugu sio muda mrefu wataiba na hiyo maiti ili wakaifanyie uchunguzi wenyewe!!!
   
 16. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 100%, align: left"]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"]Tuesday August 02, 2011
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: theTopicHead"]Local News
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: redFont"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: mainStory"]Police probe Dar es Salaam hotel victims
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"]
  By DAILY NEWS Reporters, 1st August 2011 @ 16:00, Total Comments: 0, Hits: 446

  ONE of the victims of the Southern Sun Hotel's incident, Iqbar Bahadulu (40), has been taken from the hospital by some people who claimed to be his relatives against medical advice.

  On Sunday, a Zambian identified as Baster Mudenda was found dead in a room at the Southern Sun Hotel in Dar es Salaam and three others were in critical conditions. They are suspected to have taken alcohol excessively.

  Officials at the Muhimbili National Hospital (MNH) said yesterday that two of the victims were discharged shortly after they had undergone first aid.

  The MNH Public Relations Officer, Mr Jeza Waziri, named the two victims as Omari Christopher (42) and Eliudi Sikwabi (39).

  According to police reports, Christopher is a musician and Sikwabi is a businessman. Both are British citizens, but Sikwabi is of Zambian origin. Bahaduli, is a Zambian.

  "Bahaduli was not doing well, doctors admitted him to Mwaisela Ward No. 6, but some people who claimed to be his relatives came here on Sunday at around 6pm and asked to be given their relative against medical advice," he said.

  The Ilala Regional Police Commander, Mr Faustine Shilogile, said yesterday that the police would start investigations over allegations that the victims at the Southern Sun Hotel were possibly drug traffickers.

  "It has been widely speculated that the visitors might in a way or another have been involved with illicit drugs. We still can't accept or rule out the claims but we are going to institute thorough investigations on the claims," he said.

  Mr Shilogile however stated that the police were still waiting for the reports of the Medical Officer and the Forensic Unit of the Police Force following the seized items at the hotel rooms on Sunday that are connected with the incident.

  "These are not criminals, our responsibility was to make sure that they are in the hands of doctors, other procedures were to be taken care of by their relatives," he said.

  "We will conduct a postmortem on the body of Mudenda before we release it for burial. At the moment we are contacting the Zambian High Commission over the matter," he said.

  He said the reports on the investigations would be released as soon as they were ready.

  On allegations that the suspects passed at the Dar es Salaam International Airport sometimes on Saturday evening or Sunday morning putting on garments like airline crew, the RPC noted that putting on such clothes could not help them from being apprehended.

  "Who said airline crew and captains are not searched? There is no way they can pass without being searched and therefore the suspects could have been apprehended as soon as they arrived," he stressed.

  Mr Shilogile urged the public to make sure they inform the police force and other security organs whenever they came across scenarios that were likely to be dangerous to the community or the entire nation. [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"][TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
Loading...