Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,594
- 1,708
Mkuu ogopa hako kakabila ni hatari kwa ulozi unakuwa zezeta mazimaHahaha pole mkuu wameshakutenda
Mkuu ogopa hako kakabila ni hatari kwa ulozi unakuwa zezeta mazimaHahaha pole mkuu wameshakutenda
1. Ni Weupe
2. Ni Warefu
3. Ni Wanafungasha vzr
4. Ni wana Pua ndefu (demu mwenye pua mlalo walahi hana nafasi kwangu)
5. Ni wacheshi balaa
Nawapenda sana!!
NB. PESA NINAYO NISHATAFUTA!!
Weka picha zao basi tushuhudie1. Ni Weupe
2. Ni Warefu
3. Ni Wanafungasha vzr
4. Ni wana Pua ndefu (demu mwenye pua mlalo walahi hana nafasi kwangu)
5. Ni wacheshi balaa
Nawapenda sana!!
NB. PESA NINAYO NISHATAFUTA!!
Daa!Kuna demu mmoja mnyaturu nilisomaga nae chuo, aisee alikuwa ana ringaaaa kumbe bana yule manzi alikuwa ni mwezi mchanga .....siku iyooo sivikampanda aisee
Maselaaa wote tulimuacha kwanza azurure pale kjiji Cha chuo .....alvyo pona aisee alikuwa ana jisikia aibu sanaaa
Kwani Wema Sepetu ni mnyaturu??.Chukua picha za Wema Sepetu wa zamani
Ibuka kwenya baa zilizochangamka..au maeneo yenye watu wengi..kama sokoni..usake warembo.Niko Iramba hapa, nipeni konectioni wakuu.
Pigia mstariKwani Wema Sepetu ni mnyaturu??.
Kama ni kuoa atakuwa ni wa ndugu jamaa na marafiki1. Ni Weupe
2. Ni Warefu
3. Ni Wanafungasha vzr
4. Ni wana Pua ndefu (demu mwenye pua mlalo walahi hana nafasi kwangu)
5. Ni wacheshi balaa
Nawapenda sana!!
NB. PESA NINAYO NISHATAFUTA!!
Rangi na shape tu1. Ni Weupe
2. Ni Warefu
3. Ni Wanafungasha vzr
4. Ni wana Pua ndefu (demu mwenye pua mlalo walahi hana nafasi kwangu)
5. Ni wacheshi balaa
Nawapenda sana!!
NB. PESA NINAYO NISHATAFUTA!!
Kitu cha nyirambaView attachment 1654426
Mkuu usiulize makofi police.Vipi kuhusu "maji mara moja"