duh!! Huyu mwenzenu kanenepa au kavimba uso?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
mambo ya mdudu na bia haya
198187_203390143015740_100000342668655_657567_7178405_n.jpg
 
Nimeona,sema tungeweka picha zetu wote humu jf ungegundua pengine ye ni nafuu..umeona hapo kifuani?
 
uweke picha yako hapa kwani wewe ni nani? huyu mwenzako ni celebriti..role mode ya jamii upende usipende na ndio maana tunamuweka hapa .
 
yani nape ni role model wako?yani umetafutaaa weee umekosa kabisaa role model yaan ukagota kwa nape?
 
sio role mode wangu ..soma vizuri usikurupuke....kuna sehemu nimeandika wangu hapo? unatumia masaburi nini
 
Umeandka role model wa jamii sasa we ndo unaisemea jamii?Unatumia kigezo gani?
Anyways ni maoni yako lakini mi nadhani huyo si role model
 
ok tufnye sio role mode ..simfagilii hata hivyo
 
Mbona kama hapo mbele kwenye bailojia yake kumetuna, amesisimka na hao ladies around nini?
 
Umeandka role model wa jamii sasa we ndo unaisemea jamii?Unatumia kigezo gani?
Anyways ni maoni yako lakini mi nadhani huyo si role model

acha kutumia makalio kufikiria wewe, unaweza jifananisha na Nape wewe?
 
Mbona kama hapo mbele kwenye bailojia yake kumetuna, amesisimka na hao ladies around nini?

astaghafulilah......nilikuwa sijaona hii....hawa vijana wa siku hizi hawafai kabisa astaghafulilah...astaghafulilah... astaghafulilah...
 
Kwani aliyenona ni Mapepe Ninaye peke yake? Mbona rais wa WAMA first lady Salma hammtaji? Wanajibukanya bila kujua kuwa unene ni kifo cha haraka. Tazama akina Obama na wife wake au Bush Kichaka Joji na Laura wake. Hawajibukanyii kama hawa wezi wetu wapenda dezo na wafujaji. Ajabu wao wananona wananchi wanazidi kukonda! Huo ndiyo utawala wa kiswahili.
 
If you cant control what goes in, it is more likely you cant control what comes out of your mouth and this is good example "Siwezi kujiunga na Chadema kwa sababu sijatokea mkoa wa Kilimanjaro" anawaambia nini hao wakazi wa same mashariki na magharibi,mwanga,siha na moshi vijijini yaliyoko chini ya ccm
 
Back
Top Bottom