Duh huu mzozo sasa....hakuna haja yakuficha Id's zenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh huu mzozo sasa....hakuna haja yakuficha Id's zenu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mambo Jambo, Nov 17, 2009.

 1. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hii imekaaje

  KWA WALE AMBAO TUMO KWENYE LIBENEKE LA BLOGU, MNAWEZA KUIFURAHIA HII FEATURE. UKIWEKA KITU KINACHOITWA clustrmap KWENYE BLOG YAKO UNAWEZA KUJUA WASOMAJI WA BLOGU YAKO WAKO WAPI KATIKA USO WA DUNIA.


  KWA UFUPI UNAWEKEWA KARAMANI KADOGO KWENYE BLOGU YAKO AMBAKO UKIKACLICK KANAKUONYESHA LOCATIONS ZA WASOMAJI WA BLOGU YAKO. NI FEATURE AMBAYO BINAFSI NAIPENDA SANA.

  ILA INABIDI UWE MVUMILIVU KWANI HIYO RAMANI INAKUWA UPDATED KILA BAADA YA MASAA 24 TANGU ULIPOIBANDIKA KWENYE BLOG YAKO.

  UKIITAKA HII, SOMA ZAIDI JINSI YA KUIPATA KWA KUBINYA HAPA AU ANDIKA
  http://www.clustrmaps.com/
  KWENYE ADDRESS BAR YA BROWSER YAKO.

  MDAU WA JICHO LA KIONGOZI

   
Loading...