Duh, huku Zanzibar kuna kuku mitetea wengi ajabu..........! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh, huku Zanzibar kuna kuku mitetea wengi ajabu..........!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtambuzi, Jul 3, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Tangu nifike huku Zanzibar jana, nimekuwa na bahati ya kukutana na mitetea wengi, natamani nijitwalie japo mtetea mmoja kwa ajili ya maandalizi ya kupikiwa futari wakati wa mwezi mtukufu............. LOL

  Ngoja nile kwa macho mie maana sijui kama nitasalimike Mtambuzi mie.

  Wana JF mlioko Zanzibar naomba tutafutane, mie niko Mji Mkongwe

  Hii maneno asije akaiona mama Ngina na wanae King'asti na Cantalisia na wajukuu zangu TaiJike, mbalu na Asnam maana najua kitanuka...................
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ndoa ya mkeka inakuita kamanda.
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Asee Mtambuzi hao mitetea ni ya kawaida au vishingo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  umewaonaje wakati huwa wanafungiwa kwenye mabanda?
   
 5. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  ndo ya mkeka na mtetea? kwa sheria ipi Chimungururu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Haya kila la heri na mitetea ...lakn kumbuka muungano ndio uko icu...usije fuga mpaka akakuzoea halaf ikawa kutembeleana mpaka passport mkuu
   
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kama ndoa ya mkeka ya Ununio? Mh... Sijui kama nitasalimika huku.................
   
 8. d

  dandabo JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  mkuu uwe makini sana. Mabinti wa zenji/unguja na pemba wanawa maind sana wanaume wa bara ndio maana jamaa zao wanatuchukia kinoma. Angalia wasijekufanya kitu mbaya . Hakuna daladala la kutolokea fasta urudi dar kama ukipata matatizo.
   
 9. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Vishingo mwanawane....................
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Huku naibilizia lafudhi ya kipemba hivyo wanaiona mwenzao...................
   
 11. k

  kaeso JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Noa kisu mkuu....
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  i see...
  kuna aina ngapi za mitetea?
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  maweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.............. Mama Ngina ameumia...   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmmmmh mnampoteza mwenzenu.... familia inamtegemea mjue???   
 15. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,364
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  ninulie mmoja nina jogoo anasumbua sana
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Mzee mwenzangu hebu sogea hapo Mfenesini, kuna hii mitetea inatufaa wazee kama sisi

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 17. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  SUPU YA KUKU WA KIENYEJIII.....NI TAMU SANA AAAH! ...by Banza stone Mwalimu wa walimu, lol
  Mitetea huwa ni mitamu kwa Thupu aisee. Ingawa kama umetamani bora ununue mmoja ujilie thupu yako kwa kujinafasi, usiibe mtetea anayefungwa na mwendhioo, utafungwaaaa
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  BADILI TABIA mambo? huwajui kuku?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  bombu habari ya masiku? mitetea wengine hwua hawafugiki wapo tu wanaranda randa mitaani!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  bombu habari ya masiku? mitetea wengine hwua hawafugiki wapo tu wanaranda randa mitaani!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...