Duh! Hivi mtakuwa mnamhujumu Rais Samia au vipi, shughuli zikwame siku tano bandarini!

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,751
48,393
Binafsi nimejikuta nampemda huyo mama Suluhu na namuombea sana asikwame, maana haonekani kuwa na chuki za wazi na ana nia njema za kizalendo, sasa sijui mang'ang'ari ya gang mtakua mnakesha mkitafuta namna ya kumkwamisha au vipi.

Tatizo Watanzania walikua wamezoea uongozi wa kutumbuliwa na kushtukizwa shtukizwa, ina maana bila hivyo hawatajituma, jameni mpeni ushirikiano huyo mama ameahidi kuunga viwanda vyetu kwenye gesi moja kwa moja.

=======

Truck drivers have been stranded at the Dar es Salaam port for almost five days now due to delays in clearance at the port.

Speaking to The Citizen online at different intervals the drivers complained of delays in loading and unloading cargoes which makes them stay longer in the queue.

Omary Mambo, one of the drivers, told The Citizen he had been at the port for more than four days sleeping in his cabin making it difficult for them to access services such as toilets.

"If you ask an agent he tells you the port is full of cars, if you ask his customer also says he uses the forklifts of the port because they are not allowed to bring their own while the port’s lifts are poor and are not effective,” he said.

He added: It is obvious that the monopoly has returned so we ask President Samia to pay close attention given what is going on.

Mambo said due to value of the cargoes that they carry they forced to stay at the port until the day they offload.

“I am here carrying cargo worth More than Sh100 million and I cannot go even home before I offload it.”

Another driver who identified himself as James Juma who is supposed to load cargo meant for the Julius Nyerere Hydropower Station in Rufiji said that back in the days they used to spend a day or two loading cargo.

When the Director General of the Tanzania Ports Authority (TPA), Eric Khamis was asked about the matter, he said he was in a meeting and later his phone went unanswered.

 
Gang unamaanisha sukuma gang? Na ww boya ushadandia iyo train, sishangai, alisema tutamkumbuka, hakuna gang inayomkwamisha mzee, ni individuals tu waliomtambua na kumheshimu hayati jiwe, yameona hayupo tena, wanaendeleza uhuni, naona sasa unaanza kujionea umuhimu wa jiwe.
 
Gang unamaanisha sukuma gang? Na ww boya ushadandia iyo train, sishangai, alisema tutamkumbuka, hakuna gang inayomkwamisha mzee, ni individuals tu waliomtambua na kumheshimu hayati jiwe, yameona hayupo tena, wanaendeleza uhuni, naona sasa unaanza kujionea umuhimu wa jiwe
Nilisoma sehemu namna gang mnatumia nguvu nyingi kulinda hicho huwa mnaita legacy, ndio haya haya.
 
Mama kaenda uganda. Mpango, majaliwa, waziri wa usafirishaji mpo wapi?

Hii nchi imeoza!, Kila kitu hadi afanye rais? Hiyo bandari haina mkkurugenzi wala bodi?

Shame on you
 
MAMA KAENDA UGANDA. MPANGO, MAJALIWA, WAZIRI WA USAFIRISHAJI MPO WAPI????

HII NCHI IMEOZA!, KILA KITU HADI AFANYE RAIS? HIYO BANDARI HAINA MKKURUGENZI WALA BODI?

SHAME ON YOU
Nyinyi mumezoea kupigwa viboko na kiboko kikiwekwa chini mnazembea tena.
 
Nilisoma sehemu namna gang mnatumia nguvu nyingi kulinda hicho huwa mnaita legacy, ndio haya haya.
Hakuna kitu kama icho, tena maza mwenyewe ni gang ile ile na yupo na mawaziri wale wale wa gang, tambua magu angeweza mtosa maza 2020, licha ya kushinikizwa sana, ila aliamua kumchagua tena, na maza analitambua hilo, anachofanya maza ni kurekebisha kidogo kule anapoona panafaa marekebisho, ila wabongo bila ya mkono wa chuma, ni wasumbufu sana, ndio unayaona bandarini, ulivyo wa ajabu, eti sukuma gang inamkwamisha, hujui tu mamlaka ya president wa Tz, hakuna kitu cha kumkwamisha Rais wa Tz, akiamua jambo
 
Hivi Hamna madawa ya wanaougua ukimwi kisa shirika lenu la KEMSA limepigwa pin na wafadhili wa marekani sababu ya ufisadi lakini bado MNA roho ya kutia pua kwa mambo ya nchi nyingine..
Aisee, watu wajipee shughuli bana
 
Hakuna cha gang ,ukitaka kuwatawala watanzania thmia mbinu moja kati ya mbili

1. Kuwa softie kama Mwinyi,JK

2. Kuwa mkorofi mpaka uitwe dikteta kama Magu,Mkapa

Mama bado hajajua asimamie wapi

Watanzania sie wabishiii too much know
 
Hakuna cha gang ,ukitaka kuwatawala watanzania thmia mbinu moja kati ya mbili

1. Kuwa softie kama Mwinyi,JK

2. Kuwa mkorofi mpaka uitwe dikteta kama Magu,Mkapa

Mama bado hajajua asimamie wapi

Watanzania sie wabishiii too much know
Nyinyi mtu akiwa msoftie mtamchezea akili. Nyinyi mumezoa kupigwa ndondi ili mfanye kazi vizuri.
 
Sijakataa lakini upande wenu hadi huruma wananchi miaka nenda rudi ni softie ndo maana mnachezewa na akina uhuru na genge lake
Nyinyi mtu akiwa msoftie mtamchezea akili. Nyinyi mumezoa kupigwa ndondi ili mfanye kazi vizuri.
 
Mama aanze kutumia mkono wa chuma kuongoza nchi, wajinga wanamjaribu jaribu.

Mnachohitaji ni uhuru wa kikatiba kwenye taasisi kuwa na uwezo wa kuwajibishana ndani kwa ndani bila kusubiri rais ashtukize shtukize na makelele mengi. Magu alikua anapoteza muda mwingi kuzunguka na camera men ili kushtukiza, kila siku anawaza wapi ashtukize leo, uongozi wa kihivyo una dosari nyingi sana, watumishi wanapaswa wawe wenye kujituma.

Hata ofisini ukiwa kama mkurugenzi eti lazima utelekeze majukumu yako ili uzurure na kuvizia vizia kwenye madawati ya wafanya kazi wako na kuwapigisha makelele na kutumbua, itakua kampuni ya hovyoo sana.
 
Kenya mnamkubali sana madame president wetu na mbona sijawahi kuwasikia kumhitaji awe raisi wenu kama mlivyokua mnamhitaji uncle Magu?
Shida yenu nn awamu hii?

Sidhani kama kuna rais yeyote wa Tanzania anaweza kuongoza Wakenya, kwanza JPM angeikimbia Kenya siku tatu za kwanza.
Wakenya ni pasua, hauwezi kuwashikilia akili, hehehe ati rais atuambie hakuna corona imeisha kwa maombi na sisi kama mazwazwa tukubali tu kijinga jinga.
 
SSH ameshabadilisha mkurugenzi wa bandari ameweka mtu wake, apambane hatutaki visingizio vya sijui anakwamisha na blah blah kama hizo, mbona Magu alikuwa hakwamishwi ovyo ovyo, na ukijaribu kumkwamisha atakuzingua ww, sisi raia hatutaki nyimbo za visingizio for any weak government, tunataka kuona kazi ikiendelea haswa.
 
Back
Top Bottom