Duh..hivi kuna utawala wa machief ulibaki na kwanini ulibaki?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Nilikuwa namsikiliza huyu Jamaa Dovutwa,kuna mambo mengi alikuwa akiongea akidhani anawaponda upizani ila ktk mistrari nimenasa hili katikati ya misatri ya maongezi yake ,ktk kipindi cha ITV kinachohusiana na uchaguzi.Yeye aliongea km si muhimu na mwendesha kipindi Sam mahela km alimpa swali ambalo halikumrudihs hapo.ILa kwangu mimi imenisogeza mahali.Hivi kweli kuna machief waliachwa?Kwanini waliachwa na wengine kufutwa,kwanini walifutwa hao waliofutwa?Haya mambo yana harufu mbaya sana,na yanaonyesha jinsi gani hii nchi watu walioshirikiana na watawala waovu kuwanzia ukoloni wa kigeni hadi ukoloni wa weusi wenzetu..Hili linafafafa sana hili la kanda fulani wasishike dola.Lakini mambo haya hayadumu kwani hao machief duni walioachiwa,hawatabebeka milele,walioangushwa watazaliwa wau wenye nguvu tuu kwani akili n aupambanaji ni genetic..huwezi futa issue kipuuzi tuu halafu ukategemea uzao wao utafutika,wakati nyie mnazidi zaliwa dhaifu.Mambo haya kwanini yanajulikana na baadhi ya watu ,na inaonekana kuna kamfumo ka kuwarithisha hawa watu hizi taarifa na mbinu za kuendeleza hujuma nyuma ya mgongo,hata pale wanaohujumiwa kutojua au kutojali sana.
 
Back
Top Bottom