Duh...! Hivi babu wa Loliondo mbona simsiki tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh...! Hivi babu wa Loliondo mbona simsiki tena?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BORNCV, Dec 10, 2011.

 1. BORNCV

  BORNCV JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Au ndio ameshastaafu kutoa tiba maana nataka nimpelea jirani yangu. Mliokunywa mnaonaje?
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kaishapiga hela za watanzania saizi anasimamia miradi yake! Babu msanii
   
 3. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,055
  Likes Received: 1,778
  Trophy Points: 280
  Anamiliki nyumba moja, tena ya kisasa kwa samunge ni km ikulu na ina umeme wa sola, ana magali mawili, amepeleka vijana wake shule nk.
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  si nilisikia pia juzi juzi tu hapa anataka kufungua kituo cha afya kabisa..!!?
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,500
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Sasa amepata alichokuwa anatafuta unategemea afanye nini zaidi. Yupo kwake anakula kuku kwa mrija.
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Muulizeni Paka Jimmy anajua habari zake!
   
Loading...