Duh! hii Tunnel Guru ni balaa, yaani wiki sasa toka nijiunge sipati kitu!!!!!!!!!!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,117
2,000
Yaani nimefanya karibu setting zote ambazo nimeambiwa ni muhimu lakini wapi!!!!
Ajabu ni kule kwenye statistics Upload inakuwa kubwa lakini huku kwenye download
ni 0.30 kbs ikipanda sana inafika 4kbs, nikiweka salio kwenye modem eti na yenyewe
inajifanya kupanda na kunipa maelezo kuwa kwa watumiaji wa Tanzania natakiwa
kuunganisha na VPN hata nikiunganisha bado balaa liko palepale yaani salio langu likiisha
tu hamna kitu.

Dah, nasikitika fedha zangu zimeenda bure hii huduma imekataa kabisa kwangu nashindwa
kujua tatizo ni nini.

Naomba msaada kwenu wataalam kwani hii huduma inagoma kabisa huku kwangu.

Aione Paje.
 
peri

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,582
1,225
mkuu mwenyewe limenisibu.
Nilikuwa natumia pd prox nikahama, najuta. Natamani nirudi manake huku tg ni majanga, hela yangu imeenda bure bora ningeendelea na pd.
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,616
2,000
Kwi kwi kwiiiii! Wengine tunanyonya UTAMU mpaka mwisho wa uwezo wa Modem zetu
Tumeamia HAPA https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/575705-troubleshoot-your-tunnelguru.html hamna kumwa Mtama kwenye kuku wengi maana kuna wengine tunawakwaza hapa
 
nurbert

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,893
1,500

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,616
2,000
Bila Shaka Hyo Speed Imepanda Kwa Bahati mbaya tuuuuuuuuuu......... Angalia Time iliyobaki, Size ya File, na MB Ambazo Umesha Download Tayar..........................
May b Ilikua 600 had 500 kbs

Makadirio yako yapo chini hiyo speed kipindi na download ilianzia 600KB/s ikaja 1MB/s baadda ya hapo ilikuwa inacheza 800-1.7MB/s najua ni vigumu kuamini na ukianza kuangalia Hizo kitu hautofika ningekuwa na Modem isiyo ya Hi-Link ningekuonesha speed ya DASHBOARD mpaka hiyo speed ambayo nimeweka ungeona bado ni ndogo...............

bahati mbaya uku kwetu ikifika saa nne speed inakuwa Hovyo kesho asubuhi na kuwekea nyingine uone
Mm sishuki speed ya 800KB/s kama utakuwa umeshuhudia attachment nazo weka JF kila siku za TunnelGuru yaani kipindi na capture hiyo picha Speed ilikuwa inapanda mpaka 1.7MB/s lkn kwa sababu hiyo sio constant basi sikuweza icapture
Inshort ntakutengenezea Video uone maana Muaafrika aamini mpaka aguse
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,616
2,000
nurbert
SPEED ya kubahatisha utaijua....Emu angalia sample za screenshots hizo ujilizishe na kesho kila baada ya saa moja ntatake screennshots

Yaani kipindi natumia PD proxy,MeteorVPN ikifika speed ya 300KB/s nashangilia mpaka jirani wanaisi nimeweuka
ila kwa HTTP nakula MB 1 kwa sekunde bila ubis
 
TZ boy

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
629
250

Nakutamanije Mpaka Roho Inauma
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,616
2,000
Tunazinguana tu watu tushalipa cash zetu then technical support ziro ,kifupi mkuu njunwa wamavoko hujanitendea haki kijana wako.

sasa kama umelipa inabidi ukomae upate haki yako atimes kila mtu anakuja na shida yake na kuna wengine hata process ya ku-unzip TG inakuwa shida mpaka unasahau kama kuna watu wengine wanatka support ,....Hivo inabidi kuwa persistent....Kwa yeyote mwenye shida namba zangu ziko ziko

Au wasilish shida yako https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/575705-troubleshoot-your-tunnelguru.html ntakusaidia ntakavyoweza uweze kufaidi TunnelGuru HTTP anti-censorship
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,869
2,000
  • Ni jukumu letu kuhakikisha mnapata kile mlicholipia
  • Ni jukumu lako kuhakikisha unawasiliana na reseller wako kwa ukaribu
  • Nipigie 0768 92 48 41 kupata msaada zaidi
mkuu mwenyewe limenisibu.
Nilikuwa natumia pd prox nikahama, najuta. Natamani nirudi manake huku tg ni majanga, hela yangu imeenda bure bora ningeendelea na pd.
Pole sana
janga la kitaifa hilo !
Tunazinguana tu watu tushalipa cash zetu then technical support ziro ,kifupi mkuu njunwa wamavoko hujanitendea haki kijana wako.
Yaani nimefanya karibu setting zote ambazo nimeambiwa ni muhimu lakini wapi!!!!
Ajabu ni kule kwenye statistics Upload inakuwa kubwa lakini huku kwenye download
ni 0.30 kbs ikipanda sana inafika 4kbs, nikiweka salio kwenye modem eti na yenyewe
inajifanya kupanda na kunipa maelezo kuwa kwa watumiaji wa Tanzania natakiwa
kuunganisha na VPN hata nikiunganisha bado balaa liko palepale yaani salio langu likiisha
tu hamna kitu.

Dah, nasikitika fedha zangu zimeenda bure hii huduma imekataa kabisa kwangu nashindwa
kujua tatizo ni nini.

Naomba msaada kwenu wataalam kwani hii huduma inagoma kabisa huku kwangu.

Aione Paje.
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,785

Hilo ililipata hata mimi. cha kufanya ni kujaribu kubadilisha Port ya browser yako pamoja na kwenye IDM , yaani utumie port less loaded kwenye browser pia angalia kama unatumia modem za huawei Hilink zile zenye IP address 192.168.1.1 hizo ni majanga pia. Kingine cha kufanya Login kwenye account yako ya TG ingia kwenye server list uangalie server ambayo haijalemewa.

Mimi kwangu ipo fresh inapiga 230KBPs hadi 900KBPs baada ya kufanya hizo measures
 
Ngosi

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
340
250
Mkuu ni pm bas tujue tunailaje kimya kimya kwa maana hakuna namna
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom