duh! dully sykes unaikumbuka hii?

Yaani nimecheka! Huu ni utani wa ngumi kama sio ugomvi wa mawe. Ama, tumetoka mbali aisee.
 
na nyimbo zake hazichoshi ati!toka enzi hiyo!jamaa anaujua mziki!yeye, Q CHILLAR na mwana FA ni wasanii ninaowasalute SANA!MNOO! kibongoflava bongoflava
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom