Duh CUF ni Noma...hivi CCM na CDM mnaweza hii

Ktk uislam mwanamme ameruhusiwa kuowa wake hadi 4. Naona cuf imekua dume la mbegu imeoa ccm na sasa imeshapeleka posa kwa chadema inasubiri ruhusa tu wachukue mke wao. Hongera cuf.
:A S thumbs_down::clap2::A S thumbs_down::clap2::clap2::A S thumbs_down::A S thumbs_down::sick::sick::sick:
 
:clap2::clap2::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::sick::sick::sick::clap2::clap2::clap2::A S thumbs_down:
Hahaha unajua mtoto wa kike lazima ukimtongoza kwanza anakataa kataa hivi na hata matusi anaweza kukutukana lkn ukimlainisha anakubali. Na kila akiwa mkali zaidi mwanzo basi huyo ndie rahisi zaidi kumpata. Na hawa chadema wameshaingia ktk 18 za cuf lazima watapachikwa ki mimba tu. Hahahaha
 
sorry,,,,,, siasa au ndoa? Naona kuna wengine wameingia na suruali zipu zipo nyuma...vipi tena?
 
Hahaha unajua mtoto wa kike lazima ukimtongoza kwanza anakataa kataa hivi na hata matusi anaweza kukutukana lkn ukimlainisha anakubali. Na kila akiwa mkali zaidi mwanzo basi huyo ndie rahisi zaidi kumpata. Na hawa chadema wameshaingia ktk 18 za cuf lazima watapachikwa ki mimba tu. Hahahaha
una mawazo finyu wewe mtabe
 
Ktk uislam mwanamme ameruhusiwa kuowa wake hadi 4. Naona cuf imekua dume la mbegu imeoa ccm na sasa imeshapeleka posa kwa chadema inasubiri ruhusa tu wachukue mke wao. Hongera cuf.

CUF ni mashoga tu hataiweje. wao ni ndumila kuwili waendelee na CCM yao
 
Hahaha unajua mtoto wa kike lazima ukimtongoza kwanza anakataa kataa hivi na hata matusi anaweza kukutukana lkn ukimlainisha anakubali. Na kila akiwa mkali zaidi mwanzo basi huyo ndie rahisi zaidi kumpata. Na hawa chadema wameshaingia ktk 18 za cuf lazima watapachikwa ki mimba tu. Hahahaha

Mtabe matani gani hayo..
 
Wanaume wote wanakuwa na wake zaidi ya moja..

Hiyo ni natural, na anayepelka posa ni MUME

Kwa logic ya kuoa muoaji ni CUF anatka kuoa wake wawili kwa wakati moja

Chadema (binti mdogo) anakataa ukewenza lakini wazee wa baraza wamemlazimisha

Tusubiri itakuwaje? atasusa au ataishi hivyo hivyo kwenye ndoa

Labda kwa dini yako na ama taratibu zako nyingine za jamii yako. Usijeneralize kwa wote

Dini yangu na utaratibu wa jamii yangu ni kosa kuwa na mke wa pili
 
Hahaha unajua mtoto wa kike lazima ukimtongoza kwanza anakataa kataa hivi na hata matusi anaweza kukutukana lkn ukimlainisha anakubali. Na kila akiwa mkali zaidi mwanzo basi huyo ndie rahisi zaidi kumpata. Na hawa chadema wameshaingia ktk 18 za cuf lazima watapachikwa ki mimba tu. Hahahaha

Hivi seif ameolewa au ameoa? Ina maana shein kaoa mzee madevu? Duh!
 
Mwanamke wa pili Chadema amekuwa mkali ugomvi mwingi..tumeita wazee wa baraza akiwemo mke wa kwanza ..nafikiri atakubali posa pia..

Ikibidi kwa shinikizo kutoka za pesa nasikia anapenda pesa sana..siyo rahisi atoke tukiweka rupia

CDM ni mke mdogo mtarajiwa! na kama kawaida ya wake wadogo ambao ni bikira huleta masharti kabla ya kuwaowa! hivyo sharti la huyu mke mdogo CDM ni kuwa CUF imwache CCM ili wafunge ndoa nao ama CUF wabaki na CCM na ndoa na CDM ife! sasa nawapa ushauri wa bure CUF watoe mahari kubwa(10% ya ruzuku yao) kwa CDM na wawadanganye kuwa wao wanaipenda zaidi CDM kuliko CCM na muda mrefu watakuwa pamoja ukumbini bungeni na hata pa kulala usiku walale ktk hoteli moja na wabunge wenzao wa CDM na kamwe wasiwe wanalala hoteli moja na wabunge wa CCM huko Dodoma!

Hii itasaidia kuleta imani kwa CDM na kukubali kufunga ndoa na CUF!
 
Ni kama vile mtu mwenye jinsia mbili kisha ukamfunga jela sijui utamuweka cello ipo wa kike ya kiume? Haya itabidi tumuite dpctor kuprove ni jinsia ipi inafanya kazi kisha ndiyo umweke huko! Sasa sijui CUF ni wapinzani zaidi au watawala zaidi?

CUF ni POPO BAWA wa Pemba
 
Strictly speaking CUF ni Sharif Hamad; hawa wengine ni watwana wake ti. baada ya Hamad kuhakikishiwa ulaji, pamoja na kuwa safari hii aklikuwa na uhakika wa kujizolea kura nyingi lakini alinyamaza na kusubiri mgao wake tu. Sasa kapata ulaji basi hao wengine wote wanalamba viatu vyake. Ilikpukuwa kupiga kuyra kiti cha sipika wote walimpigia makinda, hakuna hata mmja aliyempigia Marando. Leo wanataka wasimame upinzani kwa nini kama siyo kutaka kuvuruga upinzani?
 
<br />
<br />
Sawasaw CDM ni Mbowe wengine ni watwana wake tu?
 
dhama za CUF zilikwisha labda znz na kwa bara huku zimebaki katika maeneo machache tu, tushawajua sio chama makini ni wachumia tumbo tu wako tayari kutoa kila kitu kwa ajiri ya uroho. leo hii Muhamed Rashidi anaumia moyo kukosa kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani na wakati huo huo kwa znz wanashiriki ktik serikari . yaani hawa jamaa ni kote kote nikiwaita ma......ya ? tutakosea?
 
Dume au jike kule visiwani kakubali ndoa ccm baba yeye sijui makamu na kwa vile hatosheki kwa mume mmoja huku kwenye muungano anataka awe hawara wa cdm ila cdm wanamjua mungu hawamtaki sasa anapiga kelele za paka mapepe.:A S 20:
 
Kama kanuni inafasiriwa ili tu wabunge kutoka vyama vyote vya upinzani kushirikiana kuunda kambi moja hata kama itikadi na imani za vyama hivyo ni tofauti, sioni kwanini isifanyike hivyo pia kwa chama kilichoshinda uchaguzi kushirikisha vyama vingine vyenye wabunge kuunda serikali. CCM watakubali? Na wakikataa pia huo ni uroho wa madaraka.
Nionavyo mimi ushirikiano wa kulazimishana sio ushirikiano. Na CDM wakisalimu amri maana yake tumerudi kule kule, upinzani utakuwa ni bendera tu na hautaweza kuleta mabadiliko ambayo jamii ya sasa inahitaji. Kitakachofuata ni Umisri.. Mungu pishilia mbali
 
Jamani tukubali ukweli CUF wamecheza siasa zao vizuri kwa kuutumia mwafaka wao na CCM kupata ulaji zaidi. Tukumbuke kuwa misimamo ya CDM ndo imeitia hofu CCM kukubaliana na matakwa ya CUF, NCCR - Mageuzi, TLP na UDP. Wameamua kubadili kanuni huku wakijua kuwa Rashidi Hamad ndiye atakayepanga viongozi wa kamati za kudumu za Bunge. Kwa hilo kisiasa CUF wamefanikisha malengo yao ya kuwa na influence ndani ya CCM.

CDM inatakiwa ifanyekazi kubwa sana ya kutembea pekee katika mambo mengi na uongozi wa Bunge kwa CDM utakuwa mgumu sana kwani kila kitu kitaongozwa na CUF kwa kushirikiana na CCM hivyo Mbowe anaweza kujikuta katika wakati mgumu muda mwingi. CDM inatakiwa kuwaeleza wananchi misimamo yao na imani yao. Wabadili mwelekeo wa kutumia Bunge katika kujenga hoja badala yake waendeleze operation Sangara na kuwaeleza wananchi hoja zao na namna wasivyoweza kuzipeleka Bungeni.
 
wapenda ngono utawajua kwa maneno yao watu wanaongea maslahi ya umma wengine wanaongelea mimba hii inaonesha mitazamo finyu ya walio bendera fuata upepo:twitch:
 
Back
Top Bottom