Duh! Babu wa Liliondo naye hajasazwa, apumzike salama mzee alitisha sana

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Poleni kwa kumpoteza huyu mzee ambaye alitikisa kote kwa kudai anaweza kutibu ugonjwa wa aina yoyote, hadi viongozi wakuu serikalini wakamiminika kwake kupokea kikombe chake.

Babu.jpg

Mzee alifaulu kuteka parefu, akaaminika mpaka na wakuu kwenye ngazi zote

IMG-20210128-WA0318-720x522.jpg
Huyu Magufuli alikuwa sana anti-science. Yaani anaamini sana mambo ya kupiga ramli. Mara anaambia watu wajifukize maana hakuna corona. Mara anaenda kwa mzee wa Loliondo kupata kikombe. Haamini sayansi ila eti yeye ni mwanasayansi na eti alikuwa na PhD ya chemistry.
 
Nafikiri ipo kwenye asili yao, kumbuka wote hao ni wazao wa wale majuha wa maji maji rebellion, hivyo ni kitu hupokezana vizazi baada ya vizazi, hivyo kwao huko hata kupata PhD haina maana yoyote, bado lazima akatambike kwenye kigoda cha chuma ulete.
 
I recently visited loliondo an 8 hour drive from Arusha, thro mto wa mbu, meen the place is far but beautiful kwanza mt.ol doinyo lengai with it white streaks, volcanic ash strewn all over, i think i passed by the house ya that mzungu maasai from Europe, lake Natron, beautiful sites.China wu yi is building the road though.R.i.p. mzee babu
 
Huyu Magufuli alikuwa sana anti-science. Yaani anaamini sana mambo ya kupiga ramli. Mara anaambia watu wajifukize maana hakuna corona. Mara anaenda kwa mzee wa Loliondo kupata kikombe. Haamini sayansi ila eti yeye ni mwanasayansi na eti alikuwa na PhD ya chemistry.

Do not forget that, hiyo ndiyo jadi yetu. Na kuikana siyo jawabu. Jawabu ni kuiboresha iwe kwenye health protocol compliance.
Siku zote nitasimama na waChina. Wanaenzi vitu vyao na kuvifanya viwe bora.
 
Mbona Wachina covid ilipoingia kwao hawakukimbia kuchuna na kutumia majani ya shamba kama nyinyi mnavyofanya? Wachina walitengeneza vaccine yao wenyewe na kuitumia. Usiingize Wachina kwa uchawi wenu.
 
Wapi maullana CEO geza ulale youtuba?
Assee jamani, huyo kainda wapiiii,mambo ya vikombe inasemwa na haupo.
Its very serious.
 
Mbona Wachina covid ilipoingia kwao hawakukimbia kuchuna na kutumia majani ya shamba kama nyinyi mnavyofanya? Wachina walitengeneza vaccine yao wenyewe na kuitumia. Usiingize Wachina kwa uchawi wenu.

Wewe unawafahamu waChina kwa sehemu ndogo sana. Lkn kwenye mabingwa wa herbal duniani nao wamo.
 
Sikatai. Najua wapo kwenye herbal lakini pia wapo kwenye modern medicine pia. Wao sio wajinga wa kujifanya kwamba vaccine au modern medicine ni kitu kibaya. Wao hata wame-export 1 billion vaccines to other countries. Nyinyi tu ndio mna ujinga wa kujifanya kwamba vaccine ni mbaya, Wachina hawana ujinga huo.
 
Sikatai. Najua wapo kwenye herbal lakini pia wapo kwenye modern medicine pia. Wao sio wajinga wa kujifanya kwamba vaccine au modern medicine ni kitu kibaya. Wao hata wame-export 1 billion vaccines to other countries. Nyinyi tu ndio mnajifanya kwamba vaccine ni mbaya, Wachina hawana ujinga huo.

Wee sema una visa na sisi. Sijui ni wivu 🤣🤣🤣!!!???
Duniani koote chanjo inapata upinzani mkubwa sana. Hadi marekani, rais wao ameamuru serikali za majimbo kuwahonga watu $100 ili wakachanje.
 
Hizo nchi za Marekani, Urusi , Uingereza na Uchina zote zimetengeneza vaccines zao na zaidi ya 50% ya wananchi wao wamechanjwa vaccine. Nyinyi endeleeni kuchuna majani shambani kama Neanderthal man na kuzitumia kama dawa.
 
Wengine walifia kwenye msururu wakisubiria kufikia kikombe cha babu.
Yaani ukitaka umaarifu bila jasho ondoa mshipa wa aibu.
RIP babu!
IMG_20210730_134640.JPG
IMG_20210730_134737.JPG
IMG_20210730_134708.JPG
 
Hizo nchi za Marekani, Urusi , Uingereza na Uchina zote zimetengeneza vaccines zao na zaidi ya 50% ya wananchi wao wamechanjwa vaccine. Nyinyi endeleeni kuchuna majani shambani kama Neanderthal man na kuzitumia kama dawa.

Heheehe eti Neanderthal.... nimecheka sana

1845498_IMG_8266.jpg
 
Back
Top Bottom