Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!

Arabian queen

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
2,557
4,824
Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; "chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE". Unafikiri atakuwa amekula nini?
 
Kwa tulio ishi vijijini maji tulikuwa tuna chota VISIM... (labda ndio atakua amekula)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom