Dudubaya wewe ni mshindi daima

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Amani iwe nanyi wakuu

Dudubaya ataendelea kuwa mshindi daima na hakuna wa kumzuia milele mpaka kiama.

Haogopi na ana msimamo. Kawashinda Clouds media sasa anaelekea kuwashinda BASATA na mpaka muda huu kashampiga tatu bila January makamba

BASATA acheni upuuzi

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani iwe nanyi wakuu

Dudubaya ataendelea kuwa mshindi daima na hakuna wa kumzuia milele mpaka kiyama

Haogopi na ana msimamo

Kawashinda cloud media sasa anaelekea kuwashinda basata na mpaka mda huu kashampiga tatu bila January makamba

Basata achen upuuz

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Butogwa anakusalimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Konki anajua Siri za watu kibao , istoshe watu washamzoea Ila kama Una heshima yako mjin jamaa akikuchafulia anakuchafua kwel kwel , Bora umkaushie Tu , anaweza akarelease picha yako unakula jicho la mtu sa sjui nan ataonekana mwehu....
 
Amani iwe nanyi wakuu

Dudubaya ataendelea kuwa mshindi daima na hakuna wa kumzuia milele mpaka kiama.

Haogopi na ana msimamo. Kawashinda Clouds media sasa anaelekea kuwashinda BASATA na mpaka muda huu kashampiga tatu bila January makamba

BASATA acheni upuuzi

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh hizi habari sijazipata,Dudubaya kamfanya nini Makamba?
 
Konki anajua Siri za watu kibao , istoshe watu washamzoea Ila kama Una heshima yako mjin jamaa akikuchafulia anakuchafua kwel kwel , Bora umkaushie Tu , anaweza akarelease picha yako unakula jicho la mtu sa sjui nan ataonekana mwehu....
huyu dudubaya ni loser tu atawachafua hao wajinga wenzie ila hagusi watu wanaojielewa kwasababu mtu kama huyu hakuna hata haja ya kumpeleka polisi.
 
Mimi navyofahamu kuna wanasiasa nao wamegawanyika pande mbili Makamba ni mtu wa Clouds na inasemekana alikuwa anawahujumu kwa serikali Wasafi, na Kuna Kigwangwala huyu yeye ni mshikaji wa Wasafi. Hata mawaziri wa Sanaa nao mkubwa team wasafi mdogo team clouds.

Sasa dizain kama kuna kuwekeana fitna, na ile simu aliyopiga JPM juzi kuna watu walikuwa wanamalizwa pale.

Lakini Dudu baya sijajua why kaamua kumpiga January this time.
Wasafi na Clouds zote ni za kusaga,sasa mambo ya kuhujumiana yanatoka wapi?

dodge
 
Alimchokoza yule dogo Baraka the prince,dogo akamwambia we bro umeshapotea kitambo tu unatafuta kiki kwangu,umekalia kunywa ma konyagi mpk sauti imeisha sijui hata unaimbaga nini afu wkt ukiwa Top bora ungemsomesha mwanao Wile aje akusaidie uzeeni kana hivi,ona sasa na uzee huo unahangaika na majukwaa.
huyu dudubaya ni loser tu atawachafua hao wajinga wenzie ila hagusi watu wanaojielewa kwasababu mtu kama huyu hakuna hata haja ya kumpeleka polisi.

dodge
 
Tukubaliane tu siku akianza kutuchafua sie tusimtukane mana siku zote kichaa huwa haeleweki
 
Alimchokoza yule dogo Baraka the prince,dogo akamwambia we bro umeshapotea kitambo tu unatafuta kiki kwangu,umekalia kunywa ma konyagi mpk sauti imeisha sijui hata unaimbaga nini afu wkt ukiwa Top bora ungemsomesha mwanao Wile aje akusaidie uzeeni kana hivi,ona sasa na uzee huo unahangaika na majukwaa.

dodge
hahah Baraka alimjibu vizuri kabisa huyu zwazwa
 
Alikua Anashindana nini na Clouds Mpaka Kashinda,.?

Clouds walikua Wanamjibu Au Wanaonyesha upinzani kwa icho Walichokua Wanashindani?

Uko BASATA anashindania nini?

Kwa Ushindi alioshinda dhidi ya Clouds kaingiza Sh ngapi?

Ikawaje akashindwa vita ya Kumpa Mwanae Elimu Mpaka kawa Muuza Mihogo Coco beach?
 
Mimi navyofahamu kuna wanasiasa nao wamegawanyika pande mbili Makamba ni mtu wa Clouds na inasemekana alikuwa anawahujumu kwa serikali Wasafi, na Kuna Kigwangwala huyu yeye ni mshikaji wa Wasafi. Hata mawaziri wa Sanaa nao mkubwa team wasafi mdogo team clouds.

Sasa dizain kama kuna kuwekeana fitna, na ile simu aliyopiga JPM juzi kuna watu walikuwa wanamalizwa pale.

Lakini Dudu baya sijajua why kaamua kumpiga January this time.
Haya ni Mawazo Yenu Nyinyi Washabi uchwara Mnaoendekeza U team, Wao hata hayo Mawazo hawana,.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom