Dudubaya kachoka ile mbaya wasanii wetu inasikitisha

Huko ndiyo ccm uwa inaongoza, Mbunge wake Musukuma ,sawa tu wajinga wajinga wengi mitaa hiyo.
 
Huyu jamaa namuonea huruma sana kwa sababu WCB walishamrudisha kwenye gemu kiaina badala awe "smart" atumie hiyo "opportunity" a.k.a mbeleko ya chuma aendelee kupata mkate wake wa kila siku japo kidogo yeye akajiona kafika akaanza kutukana kila mtu kwenye mitandao hata wale waliokuwa wanamkosoa kwa nia nzuri ya kumjenga. Ndio basi tena huyo kwani bahati haiji mara mbili labda uwe kijukuu cha mtume kama Laizer.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom