Dudu Baya - Uki beep wewe ni kenge tu

Hukumuzuku

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
6,675
5,022
Mwenye mp3 ya hii track anisaidie link ya ku download. "Sumu ya Penzi" by Belle9 pia
 
Ninayo video na mp3 as well!!!
Papizo tupe links basi? Tunapenda kuwasapoti wasanii wetu ila miziki yao mipya huipati kwenye itunes and the like, wanahitaji kutuwekea kwenye sehemu tutakayoweza kununua kazi zao kwa sababu kama hupo Bongo inakuwa taabu kupata nyimbo mpya-mpya.
 
Back
Top Bottom