Dubai's Construction | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dubai's Construction

Discussion in 'International Forum' started by Allah's Slave, Apr 2, 2008.

 1. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Part 1

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 3. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mnaona Mambo hayo. Sio Vi twin towers viwili vya BOT vinakuwa kero kwa wananchi.
   
 4. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Ndiyo hayo maendeleo unayoyataka? Kwa taarifa yako maghorofa si alama pekee ya maendeleo. Heritage ya Dubai iko wapi? Wanaharibu eco-system kwa upuuzi wa kutengeneza visiwa! Halafu angalia wanaojenga hayo unayoyaoa ya maana wanavyotendewa! Mungu atuepushe na maendeleo kama haya. Hizo twin towers ni two too many!

  Ah! Najua ni wivu wa wakristu. Na hali haijabadilika.
   
 5. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Na hivyo ndivyo wanavyoishi wanaojenga hayo maghorofa!
   
 6. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
 7. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mnachojua nyinyi ni kutafuta vibaya tuu basi. Please kwenye urembo hapakosi kasoro. Mkiendelea kuchimba kuhusu Dubai mtapata vingi vibaya zaidi na vikubwa zaidi.

  Ila ule mji unastahili pongezi. Mliiona picha ya dubai mwaka 95 ilivyokuwa?

  Let me help you. It had 3 large buildings only near the beach.

  [​IMG]
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Allah's Slave;
  Pamoja na nia yako nzuri ya kutuhabarisha yanayoendelea huko Dubai katika fani ya Ujenzi, Bandiko hili lingefaa na kuwa zuri iwapo lingebandikwa katika kona ya Incredible, humu humu JF badala ya hapa kwenye Matangazo madogo madogo.

  Jinsi bandiko lako lilivyo ni sehemu ya shocking development na wonders katika dunia hii... hivyo hapa sio mahala pake...

  Au kama una maana ya kutafuta vibarua wa kwenda huko Dubai kuongeza nguvu kazi, basi sina neno!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Apr 5, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Unajua kama hii ndio ingekuwa Dar au mji mwingine wowote bongo mbona dunia nzima ingejua. Maana tungetamba kaa nini...sasa wengine humu wanaua tu ili mradi bila hata sababu yoyote. Kwangu mimi maendeleo ni pamoja na kuwa na mazingira mazuri ya kuishi na kufanya kazi. Wenzetu hawa kwa kweli wamepiga hatua kubwa sana.
   
 10. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..mtumwa wa mungu,

  ..kwahiyo,maudhui yako ni nini?
   
 11. mbarikiwa

  mbarikiwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mtumwa wa Allah! umeona Watumwa wenzako wa swala tano?
   
 12. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 135
  Tuache ulimbukeni jamani, hawa wamarekani na waingereza wanaojidai kufanya hizi research huko Dubai wamesahau kabisa nchi zao zilijengwa vipi? Slaves worked their a.s off to build their economies bila malipo yoyote, hadi leo hii wanaendelea kuzinyonya nchi maskini! Ni vyema kwanza tu acknowledge maendeleo pale tunapoyaona kabla ya kuanza kuhoji yamekuja vipi.
   
 13. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #13
  Apr 5, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  ...kufurahisha macho!
   
 14. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Msichotaka kuelewa ni kuwa maghorofa peke yake hayaleti mazingira mazuri ya kuishi. Yanavutia kwenye picha lakini kwa kuishi si kwema. Kwa mfano, vivuli vya hayo maghorofa vinaleta giza huko chini. Urefu wa hayo maghorofa yanaongeza kasi ya upepo kwenye barabara zinazopita chini yake. Mji wa new York usingekuwa na Central Park usingeishika. Vile vile Chicago. Maghorofa yaani skycrapers yanatakiwa yajengwe kwa kiasi ndio yawe landmark. Singapore walivunja makazi yao yote ya zamani ili kupisha maghorofa na leo wanajuta. Katikati ya Stockholm walivunja majengo ya kale ili wajenge maghorofa na leo wanajutia! Katika mji wa Paris maghorofa yanajengwa La Defence mbali na kati kati ya mji. Mji wa London ingawa umeruhusu maghorofa lakini wako waangalifu kuwa majengo ya zamani hayafunikwi. Mimi nakumbuka mitaa ya kariakoo ilivyokuwa na uhai(wakina mama wanauza samaki, wazee wamekaa mabarazani, watoto wanacheza kwenye mitaa n.k.) kabla ya hii haraka ya kuigeuza mini Dubai. Mitaa hiyo sasa inakufa ikiingia usiku. Si wivu, nikilaani maendeleo ya Dubai bali ni kutokana na kuelewa athari za majengo marefu katika miji. Mimi binafsi hayo mliyoyabandika hapa hayanivutii hata kidogo. Heri Mji Mkongwe Unguja!
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Apr 5, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Haya magorofa yangekuwa Dar ungekuwa wa kwanza kufungua domo lako..
   
 16. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Mimi nimeyapenda maghorofa ya Michenzani, yamejengwa bila nguzo(columns) wala bimu (beams), tena upimaji wake (Setting out)ulifanyika kwa kutumia kamba ya katani... Lakini si haba hadi leo yanatumika na maelfu ya wazenj na wapemba.. Tena kila prez wa zenj amejaribu kumalizia jengo moja au mawili..
   
 17. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  halafu yamenyooka mfano wa jongoo, hata ghorofa za juu waweza kupikia kuni
   
 18. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  kheeee heeee kheeeee!
  Nilisahau hilo, hiyo inaweza kuonekana Zenj tu!
   
 19. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #19
  Apr 6, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Matumizi ya majengo ya ghorofa nyingi yamekuwa controversial sana hasa kuanzia miaka ya 60 ambapo palitokea wimbi la ujenzi wa majumba haya yakionekana kuwa ndiyo jawabu la matatizo ya makazi duniani. Maghorofa hayo mengiyao yalikuja kuchukiwa sana na wakazi wake hadi kufikia hatua ya kubomolewa. Mfano maarufu ni maghorofa ya Pruitt-Igoe mjini St. Louis yaliyojengwa kwa mbwembwe mwaka 1957 lakini yalibomolewa mwaka 1972 baada ya kuonekana yanachangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya kijamii. Huko Chicago South Side na kwenyewe maghorofa kama haya yapo na matatizo ni yale yale. Maghorofa yajulikanayo kama Robin Hood Gardens yaliyoko East London wakati wowote yatabomolewa. Maghorofa ya Mkunazini yalifanikiwa kuwapa watu makazi lakini swali linabaki ni makazi ya aina gani? Makazi bora makazi au makazi yanayomwezesha anayeishi kuweza kujitambua kama binadamu ( kuishi kwa misingi ya mila, tamaduni na kipato chake) na kujenga mizizi ya kinachioitwa komyuniti? Mimi kama mgeni sidhani kama yamefanikiwa kwa hili.

  Hayo maghorofa ya Dubai ni mfano wa nouveau riche. Hakuna mtu atakayetoka ulaya kwenda kuangalia hayo maghorofa maana wengi wamepitia huko na wanajua adha zake.

  Hatuwezi kusema kuwa kwa sababu maghorofa ya ulaya yalijengwa kwa dhuluma na kuwatumikisha watu pasipo haki kwa hiyo yanayofanywa Dubai na kwenyewe yafungiwe macho. Kosa ni kosa tu. Mtu anapozungumzia maajabu ya Las Vegas mara nyingi huelezwa maisha duni ya wengi wanaofanya kazi katika mahoteli na macasini ya huko. Vile vile kwa Dubai. Uwezo wa kuwatendea wafanyakazi wao vyema zaidi wanao lakini ni kiburi na mtazamo uliopitwa na wakati wa kuwa kwa sababu hao ni watwana basi hawana haki yeyote.

  Mjini Dar es salaam tunafanya makosa hayo hayo. Upanga tunakuharibu kwa kujenga maghorofa yasiyo na mbele wala nyuma. kariakoo tumeishaigeuza mfano mbaya wa Dubai. Katikati ya mji, twin towers za benki kuu zimeharibu kabisa mandhari ya jengo la awali la Benki Kuu. Masaki, karibu na Slipway upuuzi huo huo unaendelea. Tunadhani ni maendeleo lakini kumbe tumeliwa!
   
 20. M

  Mkandara Verified User

  #20
  Apr 8, 2008
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Jamani jamani tuache kikorosho!
  Dubai sii tu wanaendelea wako mbali na sio wenzetu hata kidogo... Ukitazama kila nyanja ya uchumi wanayoyoma.. toka mishahara hadi huduma zote, akiba ya Taifa kiasi kwamba hawana kazi na fedha zao..Population ya nchi nzima ni sawa na Manzese labda ukiongezea na kibande cha Tandale!..
  Kuhusu Utumwa labda kwanza tujiangalie sisi na hao wafanya kazi majumbani mwentu maanake ndio tulikotoka kabla ya Uhuru na leo hii tumeujengea sheria kabisa!.... Housemaid ni UTUMWA!
  Hizi habari za Afya na kadhalika zinatoka wapi hali mazingira yetu tofauti?.. Dubai jua lao kila siku nyuzi 40 kwanini wasijenge majumba kuzuia joto hilo.. hizo Park za huko wala usiseme wamezijenga jangwani na majani yao green kuliko kwetu. Puiblic pool kila sehemu yaani hawa wajomba tuwaache kama walivyo...
  Mbona hakuna anayepinga maendeleo ya sehemu kama Arizona na Texas ambako kuna boom zaidi kulingana na states za Marekani!..
  Tatizo la mada hii labda ni pale alipoweka mshangao wake na hiyo incredible wakati maghorofa ni jambo la kawaida, yote yamesimama ardhini yanachozidiana ni miundo na urefu..
   
Loading...