DUBAI... nchi yenye watawala wenye vision

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hivi Nyerere alisema kuwa nch inahitaji SIASA SAFI lakini hawa jamaa hawana hiyo siasa safi na wanazidi kutumia rasilimali walizonazo kuendeleza nchi yao

Je WATAWALA wetu wangekuwa na vision kama hawa jamaa tungekuwa wapi?. Hii ni special progrmae ya CBS NEWS inaitwa 60 MINUTES

PART 1
http://www.cbsnews.com/sections/i_video/main500251.shtml?id=3366044n

PART 2

http://www.cbsnews.com/sections/i_video/main500251.shtml?id=3366044n
Ohh by the way kwenye hiyo video mtaona huyo sheikh Mohammed hatembei na security wala hana security detail...kisa? HE IS MAN OF THE PEOPLE!
 
Nakubaliana nawe, but isnt Dubai a 'state' within the UAE? Ngoja niangalie hiyo kideo, ila sina uhakika kama sehemu zingine za UAE zinafanikiwa kama Dubai. Never the less, asante kwa link, na ngoja niicheki nirudi na feedback. Atleast wanatumia utajiri vizuri.
 
Def,
Yes, Dubai ni miongoni mwa United Arabi Emerates....nyingine ni Oman, Bahran nadhani na Qatar.

Duuh, mzee naona unachanganya mambo. Hizo zingine zote ni nchi. Dubai najua ni part of UAE, nilikuwa na react tu kwa GT kuiita 'nchi'.

GT naomba part 2.umeweka same link.

Anyways, I give him 10/10 for drive and determination. Attracting business is very sound indeed. Whether anybody wanna live in the desert...as a longterm investment sijui. When the oil runs out...majengo ndio yatakuwa tourist attraction? Nadhani labda Israel inaweza kuwa interesting zaidi kuiangalia.

But kudos for loving 'his' state. Yuko patriotic indeed, which looking at it, puts us into shame. Na haya mambo ya BUzwagi...etc...kinda hurts.
 
GT asante sana. Interesting prog. The guy sounds very smart indeed. Yaani hadi inafurahisha. I can tell they like finer things in life (maana wamewekeza na Arsenal teh teh teh, well stadium atleast).
Nilikuwa nataka niwe critical, ila nimeona jinsi anaongea na wale wanawake darasani, I can tell he is a visionary indeed. Ila yule prof. mwananamke kasema tatizo lake ndoto zake hazina limits.
 
Niliona hiki kipindi. Kitu nilichofurahia nafasi nyingi ambazo ni nyeti katika uchumi wao zimeshikwa na waarabu wenyewe na sio wazungu. Pia jamaa aliulizwa kwanini unaharakisha kutaka kuwa best in education, quality of life, health etc katika kipindi kifupi na sio miaka 30 au 40 ijayo. Akajibu I want my people to have the best in everything now, I don't have to wait for 30 or 40 years. Wasi wasi wabgu Dubai sasa hivi imekuwa ni kivutio kikubwa cha watalii toka sehemu mbali mbali duniani na wengine wanahamia huko ili wafaidi the standard of life which is among the best in the World, hata wamarekani wanafurika huko kwa wengi. Matokeo yako wataleta utamaduni wa kwao wa mabunduki n.k. na muda si mrefu patakuwa na uhalifu wa hali ya juu, inawezekana kabisa hili lisitokee.
 
vision inavyofanya kazi

21njw4w.jpg

The Palm Jumeirah Monorail (open for public in April)

090126palmmonorailtrainib7.jpg

Al Karama Station
1zo7zo3.jpg

Trade Center Station
2mqiyy8.jpg

Emirates Towers Station
1c290.jpg

DIFC Station
160alw3.jpg

Burj Dubai Station (partial view)

2ur5im8.jpg

Bussines Bay Station
22ge81.jpg

Red Line Emerging from below ground (just past Burjuman station)
vztq38.jpg
 
Mimi namsifu tu kwa kutokuwa na security detail. He seems like a humble man japo ni tajiri kweli. Je viongozi wetu wanaweza kugive up security detail and all the luxuries of office?
 
Mimi namsifu tu kwa kutokuwa na security detail. He seems like a humble man japo ni tajiri kweli. Je viongozi wetu wanaweza kugive up security detail and all the luxuries of office?
OLOF PALME,if my memory serves me right,swedish premier alikuwa mtu wa watu,no security detail look where he ended up-assasinated
 
Duuh, mzee naona unachanganya mambo. Hizo zingine zote ni nchi. Dubai najua ni part of UAE, nilikuwa na react tu kwa GT kuiita 'nchi'.

GT naomba part 2.umeweka same link.

Anyways, I give him 10/10 for drive and determination. Attracting business is very sound indeed. Whether anybody wanna live in the desert...as a longterm investment sijui. When the oil runs out...majengo ndio yatakuwa tourist attraction? Nadhani labda Israel inaweza kuwa interesting zaidi kuiangalia.

But kudos for loving 'his' state. Yuko patriotic indeed, which looking at it, puts us into shame. Na haya mambo ya BUzwagi...etc...kinda hurts.

You compared Israel to UAE? Hell NO!! Dubai is the World Business Centre. While is Israel is just another dependent poor nation that depends on foreign aid from USA.
 
Thats true. Sina hata haja ya kuangalia video maana nipo hapa Dubai on transit to Dar. Nilifika hapa mchana tu na nilikuwa nimefanya booking ya hotel hivyo nimepata muda wa kuzurura kidogo. These guys are serious. Yaani wanashindana na Majiji mengine maubwa unayowezaorodhesha. The city is clean. Halafu hata airport naona Wafilipino wapo kama njugu. They are doing fine, Nikawa najiuloiza Mbona wanawake waarabu sioni wengi???. Majengo yanazidi kuelekea hewani kwa mashindano. Mwe!!!!! Nasubiri nitua hapo nyerere maana nimekaa ughaibuni siku nyingi kidogo. Najkaribisha mwenyewe Bongo. Karibu MAARIFA
 
Nimestuka na llah akabar aubuhi subuhi sa 10 na robo asubuhi. It took me some time kubaini niko wapi and wot is it. Hii hotel iko humu humu airport level 5. basi hiyo adhana mapka hotelini. NO COMMENT.
 
Back
Top Bottom