Dua Zenu Watanzania Mbele Mo Sarah Nyuma Mahrez Kushoto Mane Kulia Wanyama

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Kundi C ndilo tumo wa tz, ukitazama kiukweli si kundi rahisi ukirejea kiwango chetu, cha zaidi hapa ni Dua na Maombi tu ndiyo kilichobaki kwetu watanzania angalau basi tusitoke kwa aibu.
Kundi C:
Misri
Kenya
Tanzania
Senegal
 
Huyu kumbe sio wakwetu!!
IMG-20190618-WA0046.jpeg
 
Kundi C ndilo tumo wa tz, ukitazama kiukweli si kundi rahisi ukirejea kiwango chetu, cha zaidi hapa ni Dua na Maombi tu ndiyo kilichobaki kwetu watanzania angalau basi tusitoke kwa aibu.
Kundi C:
Misri
Kenya
Tanzania
Senegal
Hili kundi umelitoa wapi
Na umefanya kusudi kuiweka Misri
kama ulivyo anza na Mo sarah
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kundi C ndilo tumo wa tz, ukitazama kiukweli si kundi rahisi ukirejea kiwango chetu, cha zaidi hapa ni Dua na Maombi tu ndiyo kilichobaki kwetu watanzania angalau basi tusitoke kwa aibu.
Kundi C:
Misri
Kenya
Tanzania
Senegal
Hatuko na Misri wacha urongo
 
Kundi C ndilo tumo wa tz, ukitazama kiukweli si kundi rahisi ukirejea kiwango chetu, cha zaidi hapa ni Dua na Maombi tu ndiyo kilichobaki kwetu watanzania angalau basi tusitoke kwa aibu.
Kundi C:
Misri
Kenya
Tanzania
Senegal

Wabunge wetu watatusaidia tutashinda.
Timu pinzani hazitaingia uwanjani kuunga mkono jitihada za Taifa Stars
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom